Kutokezea kwa
"Al'Dabaa"






الإمام المهديّ المنتظَر يفتي بأنّ الدابّة التي ستخرج تكلّم الناس إنّما هي عيسى ابن مريم عليه الصلاة والسلام



Al'Mahdi Al'Muntadhar Anatowa Fatwa Kuwa Hakika Ya A'Daba Ambae Atatoka Yuwa'Zungumza Na Watu Huyo Ni Al'Masi7h Issa Ibnu Maryam Aleyhi Asalat Wa Al'Salam..



Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Wa'Asallat Wa'Alsalam Kwa Wote Ma'NBi Na Mitume Wa Allah Na Ahli Zao Al'Tayibin Na Wanao Wafwata Mpaka Siku Ya Din Hatutafautishi Baina Ya Yoyote Katika Mitume Wake Na Sisi Kwake Waislamu, Ba'ada Ya Hapo .




Na Al'Imam Al'Mahdi Anatowa Udhru Kwa Mgeni Wetu Mkarimu" Al'Taaib Ila Allah" Kwa Sijaweza Kujibu Masuali Yake Ambazo Sikuzipata Ama Sizikumbuki Kwa Sababu Ya Wingi Wa Masuali Na Majibu Kwa Umma Ama Kwa Binafsi "Inbox", Na Al'Imam Al'Mahdi Ni Mtu Moja Na Waulizaji Ni Umma, Basi Subira Ni Njema,


Na Kile Nacho Taka Kwa Wapendwa Wangu Al'Anssar Kujitolea Wala Sio Amri Kuwa Mwenye Kupata Suali Halijajibiwa Basi Aitume Kwetu Kama Barua Binafsi Pamoja Na Rabit Albayan Ili niweze Kuijubu Pindi Nikipata Fursa Kwa Idhini Ya Allah, Na Subra Ni Njema Enye Ma3ashara Ya Waulizaji, Na Haikuwa Kwa Ali'Imam Al'Mahdi Awe Na Kiburi Kwa Watafiti Wa Haki, Na Nawajibu Waulizaji Wala Sijuwi Alie Uliza, Muhimu Kuwa Nime'Warudishiya Jibu Ili Wafaidike Watafiti Wa Haki Mbali Na Kuwa Ame'Ongoka Mulizaji Ama Ni'Wale Ambao Hawa'Ongoka, Bali Atafaidika Kwa Jawabu La Suali Lake Kaum Wingine Ambao Watafuta Haki Kwa Ikhlasi Ya Dhati Na Ukweli,
Na Ama Wale Wanafurahia Kwa Ile Ilimu WaliopaTa Katika Ma'Ahzibu Tunasema: Hata Kama Imebainika Ilmu Yenu Ni Batli Kwa Mas'Ala Fulani Lakini Allah Amiwapa Fatwa Kwenye Ilio'Wazi Katika Muhkam Kitabu Chake Kuwa Kila Ulinganizi Una Burhan ushuhuda, Kwajili Ya Hivo Allah Ta3ala Asema:
{قُلْ هَاتُوا بُرْهَانَكُمْ إِنْ كُنتُمْ صَادِقِينَ}


صدق الله العظيم [البقرة:111].
Allah Ta3ala Asema: { Sema Leteni (Burhan) ushuhuda Wenu Ikiwa Nyinyi Ni Wakweli} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:111].


Kama Mfano Yule Anae'towa Fatwa Kuwa Al'Daba Ni Ngamia Jike Wa Nabi Allah- Saleh Bila Ilmu Kutoka Kwa Allah Ila Wafwata Dhana Pindi Ilipo'Kuja Utajo Wa Ngamia Kwenye Al'Quran Kuwa Ni Aya "Alama", Na Nasema Ndio Na3am Ni Alama Ama Aya Ya Kaum Wa Nabi Wa Allah Swaleh na imepita Na Ishaisha, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{وَإِلَى ثَمُودَ أَخَاهُمْ صَالِحاً قَالَ يَا قَوْمِ اعْبُدُوا اللَّهَ مَا لَكُمْ مِنْ إِلَهٍ غَيْرُهُ قَدْ جَاءَتْكُمْ بَيِّنَةٌ مِنْ رَبِّكُمْ هَذِهِ نَاقَةُ اللَّهِ لَكُمْ آيَةً فَذَرُوهَا تَأْكُلْ فِي أَرْضِ اللَّهِ وَلاَ تَمَسُّوهَا بِسُوءٍ فَيَأْخُذَكُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌ}
صدق الله العظيم [الأعراف:73].
Allah Ta3ala Asema: { Na Kwa Thamud Ndugu'Yao Swalieh Amesema Enyi Kaum Mu'Mwabudu Allah Hamuna Kwenu Mwenye Kuabudiwa Pasi Na Yeye Imewajia Bayana Kutoka Kwa Mola Wenu Huyu Ngamia Jike Wa Allah Kwenu Ni Aya "Alama" Mumwache Ale Katika Ardhi Ya Allah Wala Musimguse Kwa Ubaya Iwachukuwe Adhabu Inao'umiza} Sadaqa Allah Al3adhimv[Alaaraf:73].


Na Tufwatilie Kisa Cha Kaum Nabi Allah Sawaleh Sallah Allahu Aleyhi Na Ahli Yake Al'At'har wa Salam Na Jee Allah Ame'Mwinuwa Ngamia Jike Kwenye Pahali juu Aka'Mokowa Na Kuliwa Akawa'Fananishiya Ngamia Jike Mwengine Ili Wamuwe? Na Alafu Nawaletea Fatwa Kutoka Kwa Mola Wa Walimwengu Katika Muhkam Ya Kitabu Chake Kilio'Wazi Kwa Walimwengu Na Waislamu Wote, Amesema Allah Ta3ala:

{قَالَ الْمَلَأُ الَّذِينَ اسْتَكْبَرُ‌وا مِن قَوْمِهِ لِلَّذِينَ اسْتُضْعِفُوا لِمَنْ آمَنَ مِنْهُمْ أَتَعْلَمُونَ أَنَّ صَالِحًا مُّرْ‌سَلٌ مِّن رَّ‌بِّهِ قَالُوا إِنَّا بِمَا أُرْ‌سِلَ بِهِ مُؤْمِنُونَ ﴿٧٥﴾ قَالَ الَّذِينَ اسْتَكْبَرُ‌وا إِنَّا بِالَّذِي آمَنتُم بِهِ كَافِرُ‌ونَ ﴿٧٦﴾ فَعَقَرُ‌وا النَّاقَةَ وَعَتَوْا عَنْ أَمْرِ‌ رَ‌بِّهِمْ وَقَالُوا يَا صَالِحُ ائْتِنَا بِمَا تَعِدُنَا إِن كُنتَ مِنَ الْمُرْ‌سَلِينَ ﴿٧٧﴾ فَأَخَذَتْهُمُ الرَّ‌جْفَةُ فَأَصْبَحُوا فِي دَارِ‌هِمْ جَاثِمِينَ ﴿٧٨﴾ فَتَوَلَّىٰ عَنْهُمْ وَقَالَ يَا قَوْمِ لَقَدْ أَبْلَغْتُكُمْ رِ‌سَالَةَ رَ‌بِّي وَنَصَحْتُ لَكُمْ وَلَـٰكِن لَّا تُحِبُّونَ النَّاصِحِينَ ﴿٧٩﴾}

صدق الله العظيم [الأعراف].
Allah Ta3ala Asema: {Wamesema Watu Wale Walio Kuwa Na Kiburi Katika Kaumu Yake Kwa Wale Walio'Nyanyaswa Walio Amini Kati Yao Mwajuwa Kuwa Swaleh Ametumwa Kutoka Kwa Mola Mlezi Wake Wakasema Sisi Kwa Yale Alio'Tumwa Ni Waumini (75) Wakasema Wale Wenye Kiburi Sisi Kwa Yale Mulio Amini Sisi TumiYakufuru (76) Wakam'Muwa Ngamia Hawa'kusikiza Amri Ya Mola Wao Wakasema Ewe Swaleh Tulete Unao'Tuahidi Ikiwa Kweli Wewe Ni Katika Walio'Tumwa (77)
Ikwa'Chukuwa Mtigisho Wakawa Katika Majumba Yao Wamianguka (78) Akaondoka Kwao Akasema Enye Kaum Hakika Mimi Nime'Balighisha Ujumbe Wa Mola Wangu Na Nimi'Wanasihi Lakini Hamupendi Wanao'Towa Nasaha (79)} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'aaraf].



Na Hi Yani Allah Hakumo'Kowa Kutokana Na Ku'Uliwa Kwa Hikma Ya Kiungu, Na Wakammuwa Kaumu Ya Sawaleh Ngamia Wa Allah.
Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{وَإِلَىٰ ثَمُودَ أَخَاهُمْ صَالِحًا قَالَ يَا قَوْمِ اعْبُدُوا اللَّـهَ مَا لَكُم مِّنْ إِلَـٰهٍ غَيْرُ‌هُ هُوَ أَنشَأَكُم مِّنَ الْأَرْ‌ضِ وَاسْتَعْمَرَ‌كُمْ فِيهَا فَاسْتَغْفِرُ‌وهُ ثُمَّ تُوبُوا إِلَيْهِ إِنَّ رَ‌بِّي قَرِ‌يبٌ مُّجِيبٌ ﴿٦١﴾ قَالُوا يَا صَالِحُ قَدْ كُنتَ فِينَا مَرْ‌جُوًّا قَبْلَ هَـٰذَا أَتَنْهَانَا أَن نَّعْبُدَ مَا يَعْبُدُ آبَاؤُنَا وَإِنَّنَا لَفِي شَكٍّ مِّمَّا تَدْعُونَا إِلَيْهِ مُرِ‌يبٍ ﴿٦٢﴾ قَالَ يَا قَوْمِ أَرَ‌أَيْتُمْ إِن كُنتُ عَلَىٰ بَيِّنَةٍ مِّن رَّ‌بِّي وَآتَانِي مِنْهُ رَ‌حْمَةً فَمَن يَنصُرُ‌نِي مِنَ اللَّـهِ إِنْ عَصَيْتُهُ فَمَا تَزِيدُونَنِي غَيْرَ‌ تَخْسِيرٍ‌ ﴿٦٣﴾ وَيَا قَوْمِ هَـٰذِهِ نَاقَةُ اللَّـهِ لَكُمْ آيَةً فَذَرُ‌وهَا تَأْكُلْ فِي أَرْ‌ضِ اللَّـهِ وَلَا تَمَسُّوهَا بِسُوءٍ فَيَأْخُذَكُمْ عَذَابٌ قَرِ‌يبٌ ﴿٦٤﴾ فَعَقَرُ‌وهَا فَقَالَ تَمَتَّعُوا فِي دَارِ‌كُمْ ثَلَاثَةَ أَيَّامٍ ذَٰلِكَ وَعْدٌ غَيْرُ‌ مَكْذُوبٍ ﴿٦٥﴾ فَلَمَّا جَاءَ أَمْرُ‌نَا نَجَّيْنَا صَالِحًا وَالَّذِينَ آمَنُوا مَعَهُ بِرَ‌حْمَةٍ مِّنَّا وَمِنْ خِزْيِ يَوْمِئِذٍ إِنَّ رَ‌بَّكَ هُوَ الْقَوِيُّ الْعَزِيزُ ﴿٦٦﴾ وَأَخَذَ الَّذِينَ ظَلَمُوا الصَّيْحَةُ فَأَصْبَحُوا فِي دِيَارِ‌هِمْ جَاثِمِينَ ﴿٦٧﴾ كَأَن لَّمْ يَغْنَوْا فِيهَا أَلَا إِنَّ ثَمُودَ كَفَرُ‌وا رَ‌بَّهُمْ أَلَا بُعْدًا لِّثَمُودَ ﴿٦٨﴾}
صدق الله العظيم [هود].
Allah Ta3ala Asema: {Na Kwa Thamud Ndugu'Yao Swalieh Amesema Enyi Kaum Mu'Mwabudu Allah Hamuna Kwenu Mwenye Kuabudiwa Pasi Na Yeye Yeye Ame'Watengeneza Kutokana Na Ardhi Akawafanya Mu'ishi Ju Yake Basi Mumombe Msamaha Alafu Mutubie Kwake Hakika Mola'Wangu Yuko Karibu Anajibu (61) Wakasema Ewe Sawaleh Ulikuwa kwetu Una'Matumaini Kabla Ya Hi Je Unatukataza Kwa Yale Walikuwa Wakiabudu Ma'Baba zetu Na Sisi Hakika Tuko Na Shaka Kwa Yale Unacho Tuitia tuna Kushuku (62) Akasema Enye Kaum Munaona Ikiwa Niko katika uwazi Imebainika kutoka Kwa Mola Wangu Na Akanipa Kutoka Kwake Rahma Nani Ataninusuru pasi Na Yeye Pindi Nikim'Asi Hamu'Toniongezea Ila Kuzidi Kuhasirika (63) Na Enye Kaum Huyu Ngamia Wa Allah Kwenu Ni Aya " Alama Mwacheni Alishe katika Ardhi Ya Allah Na Wala Musimguse Kwa Ubaya Iwapate Adhabu Ya Karibu mno (64) Wakamuwa Akasema Jipumbazeni Kwenye Manyumba Yenu Siku Tatu Hio Ni Wa'Adi Isio'Kadhibishwa (65) Na Wakati Ilivo Kuja Adhabu Yetu Tulimokowa Swalih Na Wale Walio Amini Pamoja na Yeye Kwa Rahma Kutoka Kwetu Na Kutoka Na Khza Ya Siku Hio Hakika Mola Wako Ni Mwenye Nguvu Al'Aziz (66) Ika'Wachukuwa Wale Ambao Walio'Dhulumu Ukelele Wakabaki Katika Manyumba Yao Jathimin (67) Kama Kwamba Hakuwa Agano Lakini Thamud Wamekufuru Mola'Wao Alaa Budan Li'Thamud (68)} Sadaqa Allah Al3adhim [Hud].


Na Yabainika ewe Mwanamume Kuwa Kaum Ya Thamud Wameasi Amri Ya Mola Wao Na Wakamgusa Ngamia Kwa Ubaya Waka'Mua, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{كَذَّبَتْ ثَمُودُ الْمُرْ‌سَلِينَ ﴿١٤١﴾ إِذْ قَالَ لَهُمْ أَخُوهُمْ صَالِحٌ أَلَا تَتَّقُونَ ﴿١٤٢﴾ إِنِّي لَكُمْ رَ‌سُولٌ أَمِينٌ ﴿١٤٣﴾ فَاتَّقُوا اللَّـهَ وَأَطِيعُونِ ﴿١٤٤﴾ وَمَا أَسْأَلُكُمْ عَلَيْهِ مِنْ أَجْرٍ‌ إِنْ أَجْرِ‌يَ إِلَّا عَلَىٰ ربّ الْعَالَمِينَ ﴿١٤٥﴾ أَتُتْرَ‌كُونَ فِي مَا هَاهُنَا آمِنِينَ ﴿١٤٦﴾ فِي جَنَّاتٍ وَعُيُونٍ ﴿١٤٧﴾ وَزُرُ‌وعٍ وَنَخْلٍ طَلْعُهَا هَضِيمٌ ﴿١٤٨﴾ وَتَنْحِتُونَ مِنَ الْجِبَالِ بُيُوتًا فَارِ‌هِينَ ﴿١٤٩﴾ فَاتَّقُوا اللَّـهَ وَأَطِيعُونِ ﴿١٥٠﴾ وَلَا تُطِيعُوا أَمْرَ‌ الْمُسْرِ‌فِينَ ﴿١٥١﴾ الَّذِينَ يُفْسِدُونَ فِي الْأَرْ‌ضِ وَلَا يُصْلِحُونَ ﴿١٥٢﴾ قَالُوا إِنَّمَا أَنتَ مِنَ الْمُسَحَّرِ‌ينَ ﴿١٥٣﴾ مَا أَنتَ إِلَّا بَشَرٌ‌ مِّثْلُنَا فَأْتِ بِآيَةٍ إِن كُنتَ مِنَ الصَّادِقِينَ ﴿١٥٤﴾ قَالَ هَـٰذِهِ نَاقَةٌ لَّهَا شِرْ‌بٌ وَلَكُمْ شِرْ‌بُ يَوْمٍ مَّعْلُومٍ ﴿١٥٥﴾ وَلَا تَمَسُّوهَا بِسُوءٍ فَيَأْخُذَكُمْ عَذَابُ يَوْمٍ عَظِيمٍ ﴿١٥٦﴾ فَعَقَرُ‌وهَا فَأَصْبَحُوا نَادِمِينَ ﴿١٥٧﴾ فَأَخَذَهُمُ الْعَذَابُ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَةً وَمَا كَانَ أَكْثَرُ‌هُم مُّؤْمِنِينَ ﴿١٥٨﴾ وَإِنَّ رَ‌بَّكَ لَهُوَ الْعَزِيزُ الرَّ‌حِيمُ ﴿١٥٩﴾}
صدق الله العظيم [الشعراء].
Allah Ta3ala Asema: { Thamud waliwakanusha Mitume (141) Alipo waambia ndugu yao Saleh: Jee ! Hamumchi mungu?(142)
Hakika mimi kwenu ni Mtume muaminifu (143)
Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini (144)
Wala sikutakini ujira juu yake. Ujira wangu hauko ila kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote (145) Je! Mtaachwa salama usalimina katika haya yaliyopo hapa (146)
Katika mabustani, na chemchem (147)
Na konde na mitende yenye makole yaliyo wiva (148)
Na mnachonga milimani majumba kwa ustadi (149)
Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi (150)
Wala msit'ii amri za walio pindukia mipaka (151)
Ambao wanafanya ufisadi katika nchi, wala hawatengenezi (152)
Wakasema: Hakika wewe ni miongoni mwa walio rogwa (153)
Wewe si chochote ila ni mtu kama sisi. Basi lete Ishara ukiwa wewe ni miongoni mwa wasemao kweli (154)
Akasema: Huyu ngamia jike; awe na zamu yake ya kunywa, na nyinyi muwe na zamu yenu ya kunywa katika siku maalumu (155)
Wala ms!imguse kwa uwovu, isije ikakushikeni adhabu ya Siku Kubwa (156)
Lakini wakamuuwa, na wakawa wenye kujuta(157)
Basi ikawapata adhabu. Hakika katika hayo ipo Ishara. Lakini hawakuwa wengi wao wenye kuamini (158)
Na hakika Mola wako Mlezi ndiye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu (159)}Sadaqa Allah Al3adhim[Alshuara]




Na Ba'ada Ku'Fwatilia Kisa Cha Nabi Wa Allah saleh Na Kaumu Yake Na Ngamie Jike Aya"Alama"Kwao Kutoka Kwa Mola Wao Imebainika Kwetu Kuwa Hio Ni Aya"Alama"Imeshapita Wakati Wake Na Ishaisha Na Wame'Muwa Kwa Yakini, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{كَذَّبَتْ ثَمُودُ بِالنُّذُرِ‌ ﴿٢٣﴾ فَقَالُوا أَبَشَرً‌ا مِّنَّا وَاحِدًا نَّتَّبِعُهُ إِنَّا إِذًا لَّفِي ضَلَالٍ وَسُعُرٍ‌ ﴿٢٤﴾ أَأُلْقِيَ الذِّكْرُ‌ عَلَيْهِ مِن بَيْنِنَا بَلْ هُوَ كَذَّابٌ أَشِرٌ‌ ﴿٢٥﴾ سَيَعْلَمُونَ غَدًا مَّنِ الْكَذَّابُ الْأَشِرُ‌ ﴿٢٦﴾ إِنَّا مُرْ‌سِلُو النَّاقَةِ فِتْنَةً لَّهُمْ فَارْ‌تَقِبْهُمْ وَاصْطَبِرْ‌ ﴿٢٧﴾ وَنَبِّئْهُمْ أَنَّ الْمَاءَ قِسْمَةٌ بَيْنَهُمْ كُلُّ شِرْ‌بٍ مُّحْتَضَرٌ‌ ﴿٢٨﴾ فَنَادَوْا صَاحِبَهُمْ فَتَعَاطَىٰ فَعَقَرَ‌ ﴿٢٩﴾ فَكَيْفَ كَانَ عَذَابِي وَنُذُرِ‌ ﴿٣٠﴾ إِنَّا أَرْ‌سَلْنَا عَلَيْهِمْ صَيْحَةً وَاحِدَةً فَكَانُوا كَهَشِيمِ الْمُحْتَظِرِ‌ ﴿٣١﴾ وَلَقَدْ يَسَّرْ‌نَا الْقُرْ‌آنَ لِلذِّكْرِ‌ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ‌ ﴿٣٢﴾}
صدق الله العظيم [القمر].
Allah Ta3ala Asema:{Thamudi waliwakanusha Waonyaji(23)
Wakasema: Ati tumfuate binaadamu mmoja katika sisi? Basi hivyo sisi tutakuwa katika upotofu na kichaa!(24)
Ni yeye tu aliye teremshiwa huo ukumbusho kati yetu sote? Bali huyu ni mwongo mwenye kiburi!(25)
Kesho watajua ni nani huyo mwongo mwenye kiburi(26) Hakika Sisi tutawapelekea ngamia jike ili kuwajaribu, basi watazame tu na ustahamili (27) Na waambie kwamba maji yatagawanywa baina yao; kila sehemu ya maji itahudhuriwa na aliye khusika(28)
Basi wakamwita mtu wao akaja akamchinja(29)
Basi ilikuwaje adhabu yangu na maonyo yangu (30)Hakika Sisi tuliwapelekea ukelele mmoja tu, wakawa kama mabuwa ya kujengea uwa (31) Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani iwe nyepesi kwa kukumbuka, lakini yupo akumbukaye?(32)} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Qamar].




Kwa Hivo Wame'Mchinja Ikaisha Amri Yake Aka'Wangamiza Allah Kwa Dhambi Lao Aka'Wafuta Kabisa, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:



{كَذَّبَتْ ثَمُودُ بِطَغْوَاهَا ﴿١١﴾ إِذِ انبَعَثَ أَشْقَاهَا ﴿١٢﴾ فَقَالَ لَهُمْ رَ‌سُولُ اللَّـهِ نَاقَةَ اللَّـهِ وَسُقْيَاهَا ﴿١٣﴾ فَكَذَّبُوهُ فَعَقَرُ‌وهَا فَدَمْدَمَ عَلَيْهِمْ رَ‌بُّهُم بِذَنبِهِمْ فَسَوَّاهَا ﴿١٤﴾ وَلَا يَخَافُ عُقْبَاهَا ﴿١٥﴾}
صدق الله العظيم [الشمس].
Allah Ta3ala Asema: { Kina Thamudi walikadhibisha kwa sababu ya upotofu wao(11) Alipo simama mwovu wao mkubwa(12)Hapo Mtume wa Mwenyezi Mungu alipo waambia: Huyu ni ngamia wa Mwenyezi Mungu, mwacheni anywe maji fungu lake(13)Lakini walimkadhibisha na wakamchinja ngamia, kwa hivyo Mola wao Mlezi aliwaangamiza kwa sababu ya dhambi zao na akawafuta kabisa(14)Wala Yeye haogopi matokeo yake(15)}Sadaqa Allah Al3adhim[Alshams]




Na Njoni Ili Nibainishe Kwenu Sababu Ya Kufwata Huyu Mtu Dhana, Na Mutalikuta Jawabu Katika Kauli Ya Allah Ta3ala:




{وَإِلَى ثَمُودَ أَخَاهُمْ صَالِحاً قَالَ يَا قَوْمِ اعْبُدُوا اللَّهَ مَا لَكُمْ مِنْ إِلَهٍ غَيْرُهُ قَدْ جَاءَتْكُمْ بَيِّنَةٌ مِنْ رَبِّكُمْ هَذِهِ نَاقَةُ اللَّهِ لَكُمْ آيَةً}
صدق الله العظيم [الأعراف:73].
Allah Ta3ala Asema:{Na kwa Thamud tulimpeleka ndugu yao, Saleh. Akasema: Enyi watu wangu! Muabuduni Mwenyezi Mungu. Nyinyi hamna Mungu ila Yeye. Hakika imekwisha kukufikieni Ishara iliyo wazi kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Huyu ni ngamia jike wa Mwenyezi Mungu aliye ni Ishara kwenu)} Sadaqa Allah Al3adhim[Alaaraf:73]




Na Atawambia Huyo Mtu: "Hivi Hamuoni Ilitajuwa Aya "Ishara" Mara Mbili? Akasema Allah Ta3ala:

{وَإِذَا وَقَعَ الْقَوْلُ عَلَيْهِمْ أَخْرَجْنَا لَهُمْ دَابَّةً مِنَ الْأَرْضِ تُكَلِّمُهُمْ أَنَّ النَّاسَ كَانُوا بِآَيَاتِنَا لَا يُوقِنُونَ}
صدق الله العظيم [النمل:82]؟".
Allah Ta3ala Asema:{Na itapo waangukia kauli juu yao, tutawatolea Daaba katika ardhi atakaye wasemeza, ya kuwa watu walikuwa hawana na yakini na Ishara zetu(82)}
Sadaqa Allah Al3adhim[Alnaml]




Alafu Wanasema Wale Ambao Wanafwata Dhana: "Hivi Hamuoni Ametaja Kwenu Aya "Ishara" Katika Maudhui Mbili Nayo Maudhu Ya Ngamia Jike Na Maudhi Ya Daba "Mnyama" ? Na Alafu Wana'Fanya Istinbat uchunguzi Yake Kulingana Wanavo Dai Ati Kuwa Yule Aldaba "Mnyama" Ni Yule Ngamia Jike". Na Alafu Arudisha Jibu Kwa Wale Ambao Wanafwata Dhana Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Na Nasema: Hivo Ni Kufwata Dhana Ambao Haisaidi Mbele Ya Haki Kitu, Na Sababu Ya Dhana Yenu Ya Kuwa Ngamia Jike Ndio Yeye Aldaba Vile Imetajwa Aya"Ishara" Basi Nyinyi Kaum Majhili Mnuo! Na Sivo Hivo Tafsiri Ya Al'Quran Bil Quran Na Nyinyi Hakika Mumekosa; Bali Tafsiri Ya Al'Quran Bil'Quran Yatakiwa Iwe Kwa Misingi Mipana Ilio Wazi Na Burhan Ya'Wazi Uwazi Wa Juwaa Pindi Likitokezea Mashariki langazia, Haina Shaka Wala Utatanizi Kama Vile Anavo Fanya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Na Hamutopata Migongano Kama Wanavo'Tuzushia Ju'Yetu Majahili, Na Nakiri Kwa Makosa Ya Kilugha Na Hio Ni Hoja Yetu Wala Sio Ju Yetu Na Alhamdualillah, Na TAllahi Hakika Wao Wanafahamu Anacho Kusudia Nasser Muhammad Al'Yamani Katika Bayana Zake Zote Na Hio Ndio Muhimu Na Ndio Msingi Wafahamu Nacho Sema,




Na Ama Al'Daba Yani Inaitwa Kwa Kila Kinacho Tembea "Kul'Mayad'ab" Katika Ardhi Awe Ni Insaan "Mtu" Ama Awe Ni Hayawan "Mnyama" Anaitwa Katika ALKITAB Da'Ba, Na Katika Aya Nyengi Kwenye Muhkam Alkitab Anataja Al'Dawab Na Anakusudia Watu, Na Pili Watu Hawa'Subiri Ngamia Jike Wa Mwenyezi'Mungu Wa Saleh Aleyhi Al'Salat Wa Al'Salam! Bali Kutumilizwa Al'Imam Al'Mahdi Na Kutokezea Kwa Al'Daba Issa Ibnu Maryam Sallah Allahu Aleyhi Wa Alhi Wa Salam Na Kutokeza Kwa Almasih Alkadhab Kutoka Kwa Janatu Al'Fitna.




Na Ewe Mwanamume Bayana Ya Al'Imam Nasser Muhamad Al'Yamani Anaikubali Kila Mtu Mwenye Akili Kwa'Kuwa Ni Bayana Ya Haki Ya Al'Kitab Ukumbusho Kwa"Ulul'Al'Bab"Wenye Akili Na Mwenye Ku'Kanusha Ni Ashar Al'Dawab Wale Kiziwi Na Bubu Wale Ambao Hawati Akili, Na Usiwe Na Wao Na Uwe Ni Wenye Kushukuru Ndugu Mkarimu, Na Umhimidi Mola Wako Ambae Amekadiria Kupatkiana Kwako Katika Zama Za Kutumilizwa Al'Mahdi Al'Muntadhar Ili Atowe Watu Kutoka Kwa Madhulma Kuwaingiza Kwa Nur; Na hio Kwenu Fadhla Kutoka Kwa Allah Juyenu Kubwa Basi Kuweni Pamoja Na Wenye Kushukuru Enyi Umma Wa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani. Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabi Al'Alamin..


Ndgu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani,


وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــ




۞منتديات البشرى الإسلامية۞
https://albushra-islamia.net./showthread.php?p=56841