مزيدٌ من العلم إلى السائل من الأنصار السابقين الأخيار حبيبي في الله عوض أحمد يعقوب المكرم والمحترم ..
Zaidi katika ilimu kwa Mulizaji katika Anssar Walio Tangulia Walio Bora Mpenzi wangu kwajili ya Allah Awadh Ahmad Yaakub Almukaram Muhishimiwa..
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
لمتابعة رابط المشاركــــــــة الأصليّة للبيان ]
الإمام ناصر محمد اليماني
03 – رمضان - 1438 هـ
29 – 05 – 2017 مـ
09:33 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
(Kulingana Na Kalenda Rasmi Ya Mama Wa Vijiji)
___________________
Zaidi katika ilimu kwa Mulizaji katika Anssar Walio Tangulia Walio Bora Mpenzi wangu kwajili ya Allah Awadh Ahmad Yaakub Almukaram Muhishimiwa..
Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam juu ya wote ma Nabi Na Mitume kutoka wa kwanza wao mpaka wa mwisho wao Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam, Na Wote Waumini katika kila Zama Na Mahali mpaka siku Ya Kiyama, Ama Ba'ada Ya Hapo..
Amesema Allah Ta3ala:
{فَلَمَّا جَاءَ سُلَيْمَانَ قَالَ أَتُمِدُّونَنِ بِمَالٍ فَمَا آتَانِيَ اللَّهُ خَيْرٌ مِّمَّا آتَاكُم بَلْ أَنتُم بِهَدِيَّتِكُمْ تَفْرَحُونَ (36) ارْجِعْ إِلَيْهِمْ فَلَنَأْتِيَنَّهُم بِجُنُودٍ لَّا قِبَلَ لَهُم بِهَا وَلَنُخْرِجَنَّهُم مِّنْهَا أَذِلَّةً وَهُمْ صَاغِرُونَ (37) قَالَ يَا أَيُّهَا الْمَلَأُ أَيُّكُمْ يَأْتِينِي بِعَرْشِهَا قَبْلَ أَن يَأْتُونِي مُسْلِمِينَ (38) قَالَ عِفْرِيتٌ مِّنَ الْجِنِّ أَنَا آتِيكَ بِهِ قَبْلَ أَن تَقُومَ مِن مَّقَامِكَ ۖ وَإِنِّي عَلَيْهِ لَقَوِيٌّ أَمِينٌ (39) قَالَ الَّذِي عِندَهُ عِلْمٌ مِّنَ الْكِتَابِ أَنَا آتِيكَ بِهِ قَبْلَ أَن يَرْتَدَّ إِلَيْكَ طَرْفُكَ ۚ فَلَمَّا رَآهُ مُسْتَقِرًّا عِندَهُ قَالَ هَٰذَا مِن فَضْلِ رَبِّي لِيَبْلُوَنِي أَأَشْكُرُ أَمْ أَكْفُرُ ۖ وَمَن شَكَرَ فَإِنَّمَا يَشْكُرُ لِنَفْسِهِ ۖ وَمَن كَفَرَ فَإِنَّ رَبِّي غَنِيٌّ كَرِيمٌ (40) قَالَ نَكِّرُوا لَهَا عَرْشَهَا نَنظُرْ أَتَهْتَدِي أَمْ تَكُونُ مِنَ الَّذِينَ لَا يَهْتَدُونَ (41) فَلَمَّا جَاءَتْ قِيلَ أَهَٰكَذَا عَرْشُكِ ۖ قَالَتْ كَأَنَّهُ هُوَ ۚ وَأُوتِينَا الْعِلْمَ مِن قَبْلِهَا وَكُنَّا مُسْلِمِينَ (42) وَصَدَّهَا مَا كَانَت تَّعْبُدُ مِن دُونِ اللَّهِ ۖ إِنَّهَا كَانَتْ مِن قَوْمٍ كَافِرِينَ (43) قِيلَ لَهَا ادْخُلِي الصَّرْحَ ۖ فَلَمَّا رَأَتْهُ حَسِبَتْهُ لُجَّةً وَكَشَفَتْ عَن سَاقَيْهَا ۚ قَالَ إِنَّهُ صَرْحٌ مُّمَرَّدٌ مِّن قَوَارِيرَ ۗ قَالَتْ رَبِّ إِنِّي ظَلَمْتُ نَفْسِي وَأَسْلَمْتُ مَعَ سُلَيْمَانَ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ (44)} صدق الله العظيم [النمل].
Allah Ta3ala Asema:{ Basi alipo fika (mjumbe) kwa Sulaiman, alisema (Sulaiman): Hivyo ndio nyinyi mnanisaidia kwa mali? Aliyo nipa Mwenyezi Mungu ni bora zaidi kuliko aliyo kupeni nyinyi. Lakini nyinyi mnafurahia hii zawadi yenu (36) Rejea kwao! Kwa yakini sisi tutawajia kwa majeshi wasio yaweza kuyakabili. Na hakika tutawatoa humo na hali wao wamekuwa madhalili na wanyonge (37) Akasema: Enyi wahishimiwa! Ni nani kati yenu atakaye niletea kiti chake cha enzi kabla hawajanijia nao wamekwisha salimu amri (38) Akasema: Afriti, katika majini: Mimi nitakuletea kabla hujainuka pahala pako hapo. Na mimi kwa hakika nina nguvu na muaminifu (39) Akasema mwenye ilimu Katika Kitabu: Mimi nitakuletea kabla ya kupepesa jicho lako. Basi alipo kiona kimewekwa mbele yake, akasema: Haya ni katika fadhila zake Mola wangu Mlezi, ili anijaribu nitashukuru au nitakufuru. Na mwenye kushukuru, kwa hakika, anashukuru kwa manufaa ya nafsi yake; na anaye kufuru, kwa hakika Mola wangu Mlezi ni Mkwasi na Karimu (40) Akasema: Mgeuzieni kiti chake cha enzi hiki, tuone ataongoka, au atakuwa miongoni mwa wasio ongoka (41) Basi (Malkia) alipo fika akaambiwa: Je! Kiti chako cha enzi ni kama hiki? Akasema: Kama kwamba ndicho hichi. (Sulaiman Akasema): Na sisi tumejulishwa kutokana nae (Malkia), na tukawa Waislamu (42) Na yale aliyo kuwa akiyaabudu badala ya Mwenyezi Mungu yalimzuilia. Hakika yeye (Malkia) alikuwa katika kaumu ya makafiri (43) Akaambiwa: Liingie behewa la hili jumba. Alipo liona alidhani ni maji, na akapandisha nguo mpaka kwenye miundi yake. (Sulaiman) akasema: Hakika hilo ni behewa lilio sakafiwa kwa viyoo! Akasema (Malkia): Mola wangu Mlezi! Mimi nimejidhulumu nafsi yangu, na sasa nanyenyekea pamoja na Sulaiman kwa Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu wote (44)}
Sadaqa Allah Al3adhim [Alnaml:].
Salam za Allah Juu Yenu Warahmatu Allah Wa Barakatuhu Mpenzi Wangu Katika Mapenzi Ya Allah Awadh Ahmad Yaakub Alansari Almukaram Mwhishimiwa, Na Salam Za Allah juu Ya Wote Ma Ansar Walio Na Yaqini Walio Tangulia walio Bora katika Zama Za Hiwar Mazungumzo Kabla ya Kudhihiri, Na Usalimu Tasliman..
Na ewe Mpenzi Katika kumpenda Allah Ahmad Yaakub, Nani Ali'kuambia Kua Ndege ( Alhudhud) Hakuendelea Kufatilia Kuangalia kwa kurudisha jibu kaumu ya Malkia juu ya Malkia wao ba'ada Alipo ona ndege (hudhud) Kua Malikia Halisujudi tena jua katika ikulu lake hususi; bali amelazimika ndege hudhud kwa amri ya Suleman kwa kufwatilia Malkia Saba na kaumu yake na hivo arudi kwa Suleman na habari kamili juu yake na juu ya kaumu yake kutekeleza amri ya Nabi wa Allah Suleman:
{اذْهَب بِّكِتَابِي هَٰذَا فَأَلْقِهْ إِلَيْهِمْ ثُمَّ تَوَلَّ عَنْهُمْ فَانظُرْ مَاذَا يَرْجِعُونَ (28)} صدق الله العظيم [النمل].
Allah Ta3ala Asema:{ Nenda Na Barua Yangu Hi na uibwage kwao alafu uwondoke kwao na uwangalie nini watajibu (28)}
Sadaqa Allah Al3adhim [Alnamla].
Kwa'Kua Ameagizwa Arudi kwake Na Habari kamili kuhusu jibu la Malkia Na Kaumu Yake, Kwajili ya hivo Amisema Nabi Wa Allah Suleman:
{اذْهَب بِّكِتَابِي هَٰذَا فَأَلْقِهْ إِلَيْهِمْ ثُمَّ تَوَلَّ عَنْهُمْ فَانظُرْ مَاذَا يَرْجِعُونَ (28)} صدق الله العظيم.
{Nenda Na Barua Yangu Hi na uibwage kwao alafu uwondoke kwao na uwangalie nini watajibu(28)} Sadaqa Allah Al3adhim.
Basi Akaondoka Ndege Hudhud, Alafu Akahudhuria Ndege Hudhud kwenye Madirisha Ya kikao cha Mashauriano ili asikize nini atasema Malika Kwa Kaumu yake, Akasikia Jibu lao kwake nalo kauli yao:
{نَحْنُ أُولُو قُوَّةٍ وَأُولُو بَأْسٍ شَدِيدٍ وَالْأَمْرُ إِلَيْكِ فَانظُرِي مَاذَا تَأْمُرِينَ ﴿٣٣﴾}
[النمل].
{Sisi hakika ni wenye nguvu mno na amri inarudi kwako basi angalia nini utatuagiza (33)} [Alnaml].
Na hivo hivo amesikia Ndege Hudhud jibu la Malkia Kwa Kaumu yake aka'amua kutuma kwa Suleman Zawadi, Alafu Akasema:
{وَإِنِّي مُرْسِلَةٌ إِلَيْهِم بِهَدِيَّةٍ فَنَاظِرَةٌ بِمَ يَرْجِعُ الْمُرْسَلُونَ (35)} [النمل]،
{(Malkia wao akasema) Na Mimi nitawatumia Zawadi na niangalie nini watajibu wajumbe (35)}
[Alnamla].
Alafu akajua Ndege Hudhud kua ana hikma kubwa kutokana na hio akabashiri kheri kwa'Kua Ndege Hudhud ajua kwa yakini kua Suleman hatokubali zawadi yao inao vutia, Na akajua vile alivo afikiana Malkia pamoja na kaumu yake kuafikiana kabla kwamba akikubali Suleman Zawadi hi kubwa inao vutia ma Tani ya Dhahabu basi yeye Sio ispokua ni Mfalme Alio Ridhika Na Maisha Ya Dunia wala Sio Nabi haimfitini kupewa mali inao vutia, lakini Yeye Malkia Amewawekea Kaumu Yake Sharti kua Kama Suleman Hakukubali Zawadi basi itabainika kwao kua yeye Ni Nabi kweli Kutoka Kwa Mola Wake Mola Mlezi Wa Walimwengu, Wakasema Kaumu Yake:" sawa Tumielewana Basi tutangoja Sote nini watajibu wajumbe, Jee watarudi na Msafara mkubwa hauna kitu Kwakua ametakabali Suleman Zawadi, Ama itarudi msafara kama ulivo kwenda namzigo wake wala haikumfitini mali kwa Ulinganizi wake?".
Alafu aka'amua Ndege Hudhud kungoja Mpaka kurudi Wajumbe wa Zawadi ili arudi na ripoti kamili Kwa Nabi Suleman Kuhusu Malikia Na Kaumu Yake Kwa Jumla Na Jee wamejianda kwa vita ama wameongoka na wamesilimu ba'ada Kurudishiwa Sawadi yao vile vile imerudi? Basi Hata kama wakirudi na zawadi yenye mvutio mkubwa na Hakuikubali Nabi Wa Allah Suleman Juu Yake Sala Na Salam kwa'kua alipo fika kiongozi wa Msafara wa Zawadi Kuu ! basi tuendele kuifatilia kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَلَمَّا جَاءَ سُلَيْمَانَ قَالَ أَتُمِدُّونَنِ بِمَالٍ فَمَا آتَانِيَ اللَّهُ خَيْرٌ مِّمَّا آتَاكُم بَلْ أَنتُم بِهَدِيَّتِكُمْ تَفْرَحُونَ (36)} صدق الله العظيم [النمل].
Allah Ta3ala Asema:{ Na pindi alipo kuja alisema (Sulaiman): Hivyo ndio nyinyi mnanisaidia kwa mali? Aliyo nipa Mwenyezi Mungu ni bora zaidi kuliko aliyo kupeni nyinyi. Lakini nyinyi mnafurahia hii zawadi yenu} Sadaqa Allah Al3adhim,
Basi kutoka Hapo Alafu Walisilimu Wote Kaumu yake Malkia Ba'ada ilipo rudishwa zawadi, Alafu akaenda Ndege Hudhud Sala Za Mola Wangu Mlezi Na Salam Juu Yake Na Bishara Kwa Nabi Wa Allah Suleman Juu Yake Sala Na Salam Akasema Kwa Nabi Wa Allah Suleman;" Amesilimu Yeye na Kaumu yake Wote". Lakini Nabi Wa Allah Suleman ameamua kufanya mtihani ya uhakika wa uwislamu wake Malkia kwa'kua habari haikuja kwa wahiyj kutoka mbinguni kwa Kusilimu kwao, Bali ilia tu habari ya dhahiri kama alivo ona Ndege Hudhud Na Allah Ndio Ajua yaliomo ndani ya Moyo Wa Malikia na Kaumu wake, kwajili ya hivo amefanya mtihani ajuwe uhakika wa Uwislamu Wa Malikia na Kaumu Yake basi ikatimu kuletwa Kiti Cha Enzi Ba'ada Kuondoka Kwake Malkia Na kaumu yake Ardhi Ya Saba Na Walikua Wako Njiani kulekea kwa Nabi Wa Allah Suleman wakawcha nyuma yao katika walinzi kwenye Ufalme Wao kwa Makasri Ya kifalme, na ikatimu kuletwa kiti cha enzi kabla kufika wao kwake, Na aka'agiza ibadilishwe kidogo ili wasidhani kua ni uchawi tu na hivo ili asiogope Mfalme Mlkia wao kua hi wamerogwa macho yao Alfu asipate kusubutu kukurubia karibu ya Kiti Cha enzi na kukikalia kwajili ya hivo ameagiza kuirekibisha kidogo ili aweze kuikurubia na kuka juu yake, Na Hivo sababu ya Hikma kubwa Ya Nabi Wa Allah Suleman Kuibadilisha kidogo na hivo ili Aweze Kuisogelea Na Kuka Kwa Kiti Cha inzi, Akakipapasa Kuichunguza Kwa Mkono Wake Akaona vishimo vidigo va mapambo yake Imeondolewa mawe ya mapambo yake akona badali yake akajua ndio ile yake, Akam'ashiria Malikia jicho lake Kwa Nabi wa Allah Suleman kama kuashiria kua yeye amitambua ndio hio lakini hataki kufitini kaumu yake waidhani ni uchawi kwajili ya hivo amisema: {كَأَنَّهُ هُوَ} {Kama kwamba ndicho hichi}, Pamoja yakua amejua Ndicho hicho bila shaka wala utetanishi kwa'kua hakutaka kufitini kaumu yake Wadhani kua wamerogwa macho yao,Basi Yeye Malkia Ataka Wakirudi Kaumu yake Kwenye Ufalme Wao basi wasione Kiti cha enzi Ndani ya Kasri Ya Ufalme kwenye Kikao Cha Kushauriana pamoja Ya kua milango yake yamefungua na ina walinzi wa nguvu pamoja na hayo imetimu kutolewa kupelekwa kwa Nabi Wa Allah Suleman Ndio watajua Kua Hi ni miujiza kutoka kwa Allah ili kusadikisha Unabi wa Suleman wazidi imani.
Na Labda Anataka moja katika waulizaji aseme:" Na umejuwaje Kua Malikia Amekonyeza Kwa Jicho lake kwa Suleman kua Ndicho hicho?". Alafu Ndudisha jibu kwa Mulizaji Na Nasema: Natoa istinbat Kwa hayo kutokana na jibu la Nabi Wa Allah. Suleman Katika Kauli Yake Allah Ta3ala:
{فَلَمَّا جَاءَتْ قِيلَ أَهَٰكَذَا عَرْشُكِ ۖ قَالَتْ كَأَنَّهُ هُوَ ۚ وَأُوتِينَا الْعِلْمَ مِن قَبْلِهَا وَكُنَّا مُسْلِمِينَ (42)} صدق الله العظيم [النمل].
Allah Ta3ala Asema:{Basi (Malkia) alipo fika akaambiwa: Je! Kiti chako cha enzi ni kama hiki? Akasema: Kama kwamba ndicho hichi. (Sulaiman Akasema): Na sisi tumejulishwa kutokana nae (Malkia), na tukawa Waislamu (42)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnamla].
Basi Angalieni Kwa Kukiri Na Kukubali kutoka kwa Nabi Wa Allah Suleman kwa kujua MLakia wa Sabaa katika kauli yake Allah Ta3ala:
{فَلَمَّا جَاءَتْ قِيلَ أَهَٰكَذَا عَرْشُكِ ۖ قَالَتْ كَأَنَّهُ هُوَ ۚ وَأُوتِينَا الْعِلْمَ مِن قَبْلِهَا وَكُنَّا مُسْلِمِينَ (42)} صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema:{Basi (Malkia) alipo fika akaambiwa: Je! Kiti chako cha enzi ni kama hiki? Akasema: Kama kwamba ndicho hichi. (Sulaiman Akasema): Na sisi tumejulishwa kutokana nae (Malkia), na tukawa Waislamu (42)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnamla].
Na Suali linajiweka Lenyewe: Na Jee kukiri kwa kujuwa kwa sababh kauli yake Kama kwamba ndicho hichi? Bali kwa'kua amemkonyeza kwa jicho lake ba'ada alipo zunguk kwa kiti cha enzi akakichunguza kwa mkono wake akaona sehemu za Mapambo Ya Mawe Yake Yamiondoshwa ili ikanushike asidhani kua ni uchawi yeye na kaumu yake, Mpaka alipo maliza mzunguko wake Akawa Amisimama Mbele ya kiti alafu akamwangalia Nabi wa Allah Suleman akamkonyeza Kwa Macho yake na hukuatabasamu akasema:{كَأَنَّهُ هُوَ} {Kama kwamba ndicho hichi}. Na Lengu kwa kukonyeza jicho lake kwa Nabi wa Allah Suleman ili afahamu kua anakusudia Ndicho hicho hamna Shaka Wala Utetanishi na kua amejua yeye kuletwa kwa kitu cha enzi ilikua ni miujiza kutoka kwa Allah kuthibitisha Unabi wake, Na hapo imekuja kwa kutambua na kukiri kwa nabi wa Allah suleman kwa Kujua Malkia Wa Saba Akasema: Na sisi tumejulishwa kutokana nae Malkia na tulikua waislamu, Akasema Allah Ta3ala:
{فَلَمَّا جَاءَتْ قِيلَ أَهَٰكَذَا عَرْشُكِ ۖ قَالَتْ كَأَنَّهُ هُوَ ۚ وَأُوتِينَا الْعِلْمَ مِن قَبْلِهَا وَكُنَّا مُسْلِمِينَ} صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema:{ Basi (Malkia) alipo fika akaambiwa: Je! Kiti chako cha enzi ni kama hiki? Akasema: Kama kwamba ndicho hichi. (Sulaiman Akasema): Na sisi tumejulishwa kutokana nae (Malkia), na tukawa Waislamu} Sadaqa Allah Al3adhim.
Na Labda anataka mulizaje mwengine kutka kusema:" Ewe Nasser Muhammad, Na Umejuwaje kua Suleman alikhofia kua atasema Malikia Na Kaumu yake kua hi ni uchawi ulio wazi?". Alafu anarudisha jibu Alimam Al'Mahdi Kwa Waulizaji na Nasema: Natoa istinmbat kutokana na hayo katika kauli ya Nabi wa Allah Suleman:
{قَالَ نَكِّرُوا لَهَا عَرْشَهَا نَنظُرْ أَتَهْتَدِي أَمْ تَكُونُ مِنَ الَّذِينَ لَا يَهْتَدُونَ (41)} صدق الله العظيم،
Allah Ta3ala Asema:{ Akasema: Mgeuzieni kiti chake cha enzi hiki, tuone ataongoka, au atakuwa miongoni mwa wasio ongoka(41)} Sadaqa Allah Al3adhim.
Yani mgeuzieni Kiti chake cha enzi kwa kuondoa Ba'adhi ya mapambo yake yenye uzuri na kuvutia ili wasijuwe kuwa ndicho hicho na kua Suleman ni mchawi Mrogaji awe yeye na kaumu yaje katika upotevu wawazi na katika kaumu hawato'ongoka katika ma'Umma kila ikiwajia Manabi wao kwa miujiza kutoka kwa Allah ili kusadikisha Unabi wao wanasema hakika hi ni uchawi ulio wazi. Kwajili ya hivo imetimu kugeuzwa Kiti cha enzi kidogo ili aweze kusubutu Malikia kugusa kiti chaje cha enzi na kuchunguza kwa kukishika na kuona pahala pa mapambo yake kubadilishwa pahala pake alafu atapata yakini kua ndicho hicho kwakua amkishika kwa mkono wake akaona uhakika kweli wala sio uchawi wa kidangaya macho,
Bali amechunguza vishimo va mapambo yake ilio undoshwa katika Kiti chaje cha enzi, Na alipo jua kua ndicho hicho na kua hio ni miujiza kutika kwa Mola Mlezi Wa Ulimwengu kuletwa kiti chake cha enzi kwa'kua amekiwacha nyuma yake kwa Kasri yake ya Ufalme iliofungwa milango yake na walinzi wa nguvu alafu ikamzidisha hivo imani juu ya imani yake kabla wakati Alipo bwagwa Ndege Hudhud kwke barua Tukufu kwa hikma na mbinu kutoka kwa Ndege hudhud Mkarimu kama tulivo ifafanua hayo kabla ufafanuzi wa wazi wazi ikamzidisha Alama Ya Kuletwa Kiti cha Enzi imani na yakini kwa Mola Mlezi Wake Na kwa Unabi Wa Suleman, Akaema Allah Ta3ala:
{قَالَ نَكِّرُوا لَهَا عَرْشَهَا نَنظُرْ أَتَهْتَدِي أَمْ تَكُونُ مِنَ الَّذِينَ لَا يَهْتَدُونَ (41) فَلَمَّا جَاءَتْ قِيلَ أَهَٰكَذَا عَرْشُكِ ۖ قَالَتْ كَأَنَّهُ هُوَ ۚ وَأُوتِينَا الْعِلْمَ مِن قَبْلِهَا وَكُنَّا مُسْلِمِينَ (42) وَصَدَّهَا مَا كَانَت تَّعْبُدُ مِن دُونِ اللَّهِ ۖ إِنَّهَا كَانَتْ مِن قَوْمٍ كَافِرِينَ (43)}
صدق الله العظيم [النمل]،
Allah Ta3ala Asema:{ Akasema: Mgeuzieni kiti chake cha enzi hiki, tuone ataongoka, au atakuwa miongoni mwa wasio ongoka (41) Basi (Malkia) alipo fika akaambiwa: Je! Kiti chako cha enzi ni kama hiki? Akasema: Kama kwamba ndicho hichi. (Sulaiman Akasema): Na sisi tumejulishwa kutokana nae (Malkia), na tukawa Waislamu (42) Na yale aliyo kuwa akiyaabudu badala ya Mwenyezi Mungu yalimzuilia. Hakika yeye (Malkia) alikuwa katika kaumu ya makafiri (43)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnaml].
Yani Alikua yeye kabla hajletewa Barua Tukufu alikua katika kaumu makafiri wana'abudu Jua pasi na Allah, Na hakwenda kwa suleman na kaumu yake wote ila washakua waislamu ba'ada ilipo Rudishwa Zawadi Yao kwao, Na Alimjia na habari Ndege Hudhud Ndege mwenye hikma kwa kua amekalifishwa kuchunguza Mamuzi yao na kurudisha majibu ya uhakika na yakini kwa Nabi Wa Allah Suleman Juu yake Sala Na Salam.
Alafu ikaja Mtihani wa pili nayo Ni Behewa la almasi ya kiyo yenye kungara sana:
{قِيلَ لَهَا ادْخُلِي الصَّرْحَ ۖ فَلَمَّا رَأَتْهُ حَسِبَتْهُ لُجَّةً وَكَشَفَتْ عَن سَاقَيْهَا ۚ قَالَ إِنَّهُ صَرْحٌ مُّمَرَّدٌ مِّن قَوَارِيرَ ۗ قَالَتْ رَبِّ إِنِّي ظَلَمْتُ نَفْسِي وَأَسْلَمْتُ مَعَ سُلَيْمَانَ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ (44)}
صدق الله العظيم [النمل].
Allah Ta3ala Asema: {Akaambiwa: Liingie behewa la hili jumba. Alipo liona alidhani ni maji, na akapandisha nguo mpaka kwenye miundi yake. (Sulaiman) akasema: Hakika hilo ni behewa lilio sakafiwa kwa viyoo! Akasema (Malkia): Mola wangu Mlezi! Mimi nimejidhulumu nafsi yangu, na sasa nanyenyekea pamoja na Sulaiman kwa Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu wote (44)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnaml:].
Na Anacho kusudia Allah Ta3ala:
{فَلَمَّا رَأَتْهُ حَسِبَتْهُ لُجَّةً وَكَشَفَتْ عَن سَاقَيْهَا}
{Alipo liona alidhani ni maji, na akapandisha nguo mpaka kwenye miundi yake}? Yani amedhani maji Deep kidogo huwenda ikatotesha nguo yake ya kifalme ilio teremka mpaka chini ya migu yake, kwajili ya hivo ilimbidi kuinua urefu wa nguo yake ya kifalme kidogo basi ikakashifu miundo yake, Na kama munavo jua kua ( Alluja) Nayo ni maji deep na tunatoa istinmbat kwa hayo kutoka kwa kauli ya Allah Ta3ala:
{أَوْ كَظُلُمَاتٍ فِي بَحْرٍ لُجِّيٍّ} [النور:40]
Allah Ta3ala Asema:{ Au ni kama giza katika bahari kuu} [Alnur:40].
Yani bahari Deep maji yake. Na Tunajua inacho kusudiwa katika kauli yake Allah Ta3ala:
{فَلَمَّا رَأَتْهُ حَسِبَتْهُ لُجَّةً وَكَشَفَتْ عَن سَاقَيْهَا}
{Alipo liona alidhani ni maji, na akapandisha nguo mpaka kwenye miundi yake}, Yani amidhani kua maji ni deep kidogo akakisia udeep wake mpaka kwenye migu yake ili istote nguo yake ya kifalme ilio na tatrizi kwa lulu na murjani, Na ilikua mpaka wakati huo hajatangaza uwislamu wake kutangaza kwa Kaumu ya Nabi wa Allah Suleman mpaka alipo ambiwa kua hio ni behewa limepmbwa na viyo kungara kwake wala sio maji Deep kama alivo dhania mpaka kukashifu miundo yake alafu ak arudisha nguo yake chini ya miundo yake chini ya migu Alafu akaenda akasmama kwa migu yake kwenye sura za jua inao piga kwa behewa inaongara akasema:
{قَالَتْ رَبِّ إِنِّي ظَلَمْتُ نَفْسِي وَأَسْلَمْتُ مَعَ سُلَيْمَانَ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ (44)} صدق الله العظيم [النمل].
Allah Ta3ala Asema:{ Akasema Mola Wangu Mlezi Hakika Mimi Nimijidhulumu Nafsi Yangu Na Nimisilimu Pamoja Na Suleman kwa Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu (44)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnamla].
Na Jee Tumekufafanulia Wazi Wazi Jibu Lako Kwa Haki ewe Mpenzi Wangu Katika Kumpenda Mola Mlezi Wangu anae uliza Awadh Yakub Anssari Almukaram Ambae mwhishimiwa ama bado unazali katika shaka kutokana Na Jibu basi tubainishie sisi jambo hili la shaka katika jibu ambalo tulokuletea kutoka kwa Muhakam ya kitabu anaeielewa wenye Akili?
Na Ama kuhusu hoja yako kua hajasilimu bado ila ba'ada kufika kwa Nabi Wa Allah Suleman na unasema kwani hakusema Allah Ta3ala:
{وَصَدَّهَا مَا كَانَت تَّعْبُدُ مِن دُونِ اللَّهِ ۖ إِنَّهَا كَانَتْ مِن قَوْمٍ كَافِرِينَ (43)} صدق الله العظيم [النمل].
Allah Ta3ala Asema:{ Na yale aliyo kuwa akiyaabudu badala ya Mwenyezi Mungu yalimzuilia. Hakika yeye (Malkia) alikuwa katika kaumu ya makafiri (43)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnaml].
Na Alafu Nakwambia Wewe: ndio naam alikua kabla kuletewa barua karimu kwake alikua katika kaumu makafiri wanabudu jua pasi na Allah, Na Yeye Ni Wa Kwanza Kujitenga Na Kuabudu Jua Katika Kaumu Yake ambao walikua waki abudu jua pasi na Allah na walibaki wana'abudu jua pasi na Allah- Ispokua yeye Maliki kwa siri-- Mpaka walipo Rudi wajumbe wa zawadi na zawadi yao kubwa, Lakini walisilimu wote ba'ada Kukata Nabi Wa Allah Suleman Zawadi yao inao vutia ndio wakajua kua yeye huyu ni Nabi kutoka kwa Mola Mlezi wa ulimwengu wala sio katika wale ambao wameridhika na maisha ya dunia.
Na Ramadhan Karimu Na Mubarak Juu yetu Na Juu Yenu Na Juu Ya Waislamu wote, Na Tunagoja usiku wa nusu ya mapema ya mwezi wa Nane katika mwaka wa hijria ya mwaka wenu huu 1438 Hio kwenu Mwezi Wa Ramadhani Almubarak ili wajuwe watu kua jua limefikilia mwezi na wao wako kwenye ghafula wakanusha, Na kadhalika wajuwe kua kungia mfungo yenyewe haswa ya sharia na kulingana kuonekana miandamo ilikua kweli ni juma na anajua hio msomi na jahili lakini wanaofanya kiburi inawachukua utukufu kwa dhambi ba'ada ilipo wabainikia haki kwa utawala wa ilimu, Na hukmu ni ya Allah anaifafanua bayna yetu kwa haki na yeye ni mbora wa kufafanua Wazi wazi, Na Alhamdulillah Rabi Al3alamin..
Ndugu yenu Alimam Almahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
https://albushra-islamia.net./showthread.php?t=31265D8%B2%D9%8A%D8%AF%D9%8C-%D9%85%D9%86-%D8%A7%D9%84%D8%B9%D9%84%D9%85-%D8%A5%D9%84%D9%89-%D8%A7%D9%84%D8%B3%D8%A7%D8%A6%D9%84-%D9%85%D9%86-%D8%A7%D9%84%D8%A3%D9%86%D8%B5%D8%A7%D8%B1-%D8%A7%D9%84%D8%B3%D8%A7%D8%A8%D9%82%D9%8A%D9%86-%D8%A7%D9%84%D8%A3%D8%AE%D9%8A%D8%A7%D8%B1-%D8%AD%D8%A8%D9%8A%D8%A8%D9%8A-%D9%81%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87-%D8%B9%D9%88%D8%B6-%D8%A3%D8%AD%D9%85%D8%AF-%D9%8A%D8%B9%D9%82%D9%88%D8%A8-%D8%A7%D9%84%D9%85%D9%83%D8%B1%D9%85-%D9%88%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AD%D8%AA%D8%B1%D9%85