الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني
29 - رمضان - 1442 هـ
11 - 05 - 2021 مـ
10:51 مساءً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
___________________
عاجلٌ من الإمام المهديّ إلى كُلّ مُسلمٍ مُستَسلمٍ لربِّ العالمين ..
بسم الله الرحمن الرحيم والصلاة والسلام على محمدٍ رسول الله وجميع المُرسَلين ومَن تبِعَهم بإحسانٍ إلى يوم الدين..
سلامُ الله عليكم ورحمةُ الله وبركاته ونعيم رضوانه أحبّتي الأنصار السابقين الأخيار، كلّ عامٍ وأنتم طيّبون وعلى الحقّ ثابتون أيّها الأنصار المكرمون، وهدى الله المسلمين صراطه المستقيم، ألا ليت مفتي ديار المسلمين وقاداتهم أن يخافوا الله ربّ العالمين فلا يُفَطِّروا المسلمين حتى يَشهدوا رؤية هلال شوّال بعين اليقين أو حتى بأكبر التلسكوبات وذلك حتى يتبيَّن للعالمين أنّها حقًّا أدركت الشمس القمر وأنّهم حقًّا دخلوا في عصر أشراط الساعة الكبرى وهم في غفلةٍ مُعرِضون.
وبرغم أنّ هذه الليلة بعد غروب شمس الثلاثاء ليلة الأربعاء هي ليلة واحد شوال بحسب الإدراك، ولو أنّهم لا يُعلنوا عيد الفطر إلا بعد ثبوت هلال شوال ( ليلة الثالث من شوال ) لكان خيرًا لهم عند ربهم، إذًا لأتوا البيوت من أبوابها ولتبيَّن للعالمين أجمعين أنّ الشمس حقًّا أدركت القمر كونهم لن يروه إلا في ليلة الثالث؛ وأعلم وأعي ما أقول كوني كذلك أجد الإدراك في مُحكَم كتاب الله القرآن العظيم أنّهم لن يَشهدوا هلال الشهر حتى بأكبر تلسكوباتهم، فلن يشاهده الناس كافّة إلا سواسية يخرج عليهم ابن ليلتين أو ثلاث، هذا لو أنّهم التزموا بأمر الله ورسوله فلا يصوموا حتى يروا الهلال ولا يفطروا حتى يروه، ولكنهم رَموا بأمر الله ورسوله عرض الحائط برغم أنّهم راقبوا الهلال يوم تسعة وعشرين شعبان ولم يروه وكذلك يوم ثلاثين شعبان ( ليلة واحد وثلاثين ) ولم يروه بعد غروب شمس الإثنين ليلة الثلاثاء، فمن ثمّ صاموا مُخالفين أمر الله ورسوله وذلك منهم تعَنُّتًا وتكَبُّرًا وغرورًا، ذلك حتى لا يشاهده العالمين يوم الثلاثاء ليلة الأربعاء فيقولوا: ( ليلتين أو ثلاث ).
ويا معشر قادات المسلمين ومفتي ديارهم، والله الذي لا إله غيره أنّكم ما خالفتم أمر ناصر محمد اليماني بل خالفتم أمر الله ورسوله.
وعلى كل حال.. إذا كان الأربعاء إتمامًا فهو لرؤية الهلال كونه لا ينبغي لكم أن تُفَطِّروا الناس حتى تروا هلال شوال ولكن إذا لم تُشاهِدوا هلال شوال بعد غروب شمس يوم الأربعاء ليلة الخميس فكيف تُعلِنوا ثبوت هلال شوال كذبًا وزورًا وبهتانًا وأنتم تعلمون أنّكم لكاذبون وتفَطِّرون الناس قبل رؤية هلال شوال؟! أفلا تتّقون؟
وقال محمدٌ رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم: [ نحن أمة لا نَحسِب فصوموا لرؤيته وافطروا لرؤيته ] صدق عليه الصلاة والسلام؛ ويقصد أن نحن أمة ندخل البيوت من أبوابها فلا نصوم حسب علمنا بحساب الاقتران للقمر في العرجون القديم وهو ما يسمّونه علماء الفلك بالحساب الفلكي بالاقتران المركزيّ حتى تثبت لنا رؤيته من بعد مرور العرجون القديم وبزوغ ضياء هلال الشهر الجديد لأصحاب التحرّي، ولذلك قال محمدٌ رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم: [ صوموا لرؤيته وافطروا لرؤيته ]؛ وإنما إكمال العدة لرؤيته تصديقًا لقوله عليه الصلاة والسلام: [ لا تصوموا حتى تروا الهلال ولا تفطروا حتى تروه ] صدق عليه الصلاة والسلام، تنفيذًا لأمر الله في محكم كتابه في قول الله تعالى: { شَهْرُ رَمَضَانَ الَّذِي أُنزِلَ فِيهِ الْقُرْآنُ هُدًى لِّلنَّاسِ وَبَيِّنَاتٍ مِّنَ الْهُدَىٰ وَالْفُرْقَانِ ۚ فَمَن شَهِدَ مِنكُمُ الشَّهْرَ فَلْيَصُمْهُ ۖ وَمَن كَانَ مَرِيضًا أَوْ عَلَىٰ سَفَرٍ فَعِدَّةٌ مِّنْ أَيَّامٍ أُخَرَ ۗ يُرِيدُ اللَّهُ بِكُمُ الْيُسْرَ وَلَا يُرِيدُ بِكُمُ الْعُسْرَ وَلِتُكْمِلُوا الْعِدَّةَ وَلِتُكَبِّرُوا اللَّهَ عَلَىٰ مَا هَدَاكُمْ وَلَعَلَّكُمْ تَشْكُرُونَ ﴿١٨٥﴾ } صدق الله العظيم [ سورة البقرة ].
وكذلك أمَرنا الله في مُحكَم كتابه بإتمام عدة رمضان حتى نرى الهلال كونه أيّامًا معدودات إلى رؤية هلال شوال تصديقًا لقول الله تعالى: { شَهْرُ رَمَضَانَ الَّذِي أُنزِلَ فِيهِ الْقُرْآنُ هُدًى لِّلنَّاسِ وَبَيِّنَاتٍ مِّنَ الْهُدَىٰ وَالْفُرْقَانِ ۚ فَمَن شَهِدَ مِنكُمُ الشَّهْرَ فَلْيَصُمْهُ ۖ وَمَن كَانَ مَرِيضًا أَوْ عَلَىٰ سَفَرٍ فَعِدَّةٌ مِّنْ أَيَّامٍ أُخَرَ ۗ يُرِيدُ اللَّهُ بِكُمُ الْيُسْرَ وَلَا يُرِيدُ بِكُمُ الْعُسْرَ وَلِتُكْمِلُوا الْعِدَّةَ وَلِتُكَبِّرُوا اللَّهَ عَلَىٰ مَا هَدَاكُمْ وَلَعَلَّكُمْ تَشْكُرُونَ ﴿١٨٥﴾ وَإِذَا سَأَلَكَ عِبَادِي عَنِّي فَإِنِّي قَرِيبٌ ۖ أُجِيبُ دَعْوَةَ الدَّاعِ إِذَا دَعَانِ ۖ فَلْيَسْتَجِيبُوا لِي وَلْيُؤْمِنُوا بِي لَعَلَّهُمْ يَرْشُدُونَ ﴿١٨٦﴾ } صدق الله العظيم [ سورة البقرة ].
وأما حين يَدخُل البشر في عصر أشراط الساعة الكُبرى فوالله الذي لا إله غيره لا يرونه إلا سويًّا؛ سواء المناطق المفتوحة أو المُغلقة يوم خروجه عليهم لأوّل مرة تتم مشاهدته قبلًا للناس أجمعين فيقال: ( لليلتين أو ثلاث ) بسبب أنّ الشمس أدركت القمر، وأدرك شعبان رمضان، وأدرك رمضان شوال، فكلّ شهرٍ أدرك الذي قبله وليس عليكم في ذلك شيء، ولن ينقص من صيامكم شيء لو أنّكم لم تُعلِنوا صيام رمضان إلا بعد غروب شمس الثلاثاء ليلة الأربعاء بعد أن شاهد الناس أجمعون هلال رمضان مُنتَفِخًا ( ابن ليلتين ليلة الثالث ) فيؤمن جميعُ المسلمين أنّ الشمس حقًّا أدركت القمر وأنّهم دخلوا في عصر أشراط الساعة الكُبَر فيُصَدِّقوا المهديّ المُنتَظَر ناصر محمد وكذلك يصوموا؛ سوف يصومون رمضان ثلاثين يومًا بدءًا لهذا العام 1442 ( بدءًا من الأربعاء )؛ ( وثلاثون الخميس )، فمن ثمّ يشاهدون هلال شوال مُنتَفِخًا ابن ليلتين ( أي ابن ليلة الأربعاء وابن ليلة الخميس ) فتتمّ مشاهدته للناس كافّة بعد غروب شمس الخميس ليلة الجمعة ( ليلة الثالث من شوال لعامكم هذا 1442 ) وهكذا ما دامت الشمس تُدرك القمر حتى يسبق الليل النهار بسبب طلوع الشمس من مغربها تصديق شرطٍ آخر من أشراط الساعة الكبرى؛ فقد جاء أشراطها وأنتم في غفلةٍ معرضون، فمن يُجير المجرمين من عذاب ربّ العالمين الذين يصدون الناس عن اتّباع داعي الحق من ربّهم وليس بجهالةٍ منهم بل وهم يعلمون؟
ومِن علماء الفلك مَن شاهد هلال شوال قبل غروب شمس الثلاثاء ليلة الأربعاء وهو في حالة إدراك بنفس الكاميرا التي صَوَّر بها محمد عودة اقتران المريخ لقمر رمضان في ظهيرة يوم اقتران المريخ بعد عدة أيام مضت من رمضان، فبتلك الكاميرا كذلك يشاهدون هلال الشهر وهو في حالة إدراك قبل غروب الشمس كونها تُظلِم بأشعة الشمس الحراريّة وتُبقي النور، فلماذا لا يصورون هلال الشهر في حالة إدراك صورة حيّة بفيديو كاميرا محمد عودة التي صَوّر بها القمر وكوكب المريخ في الظهيرة وفقط يُعلِنون بشهادة الحقّ من ربّهم أنّ الشمس حقًّا أدركت القمر فَولِد الهلال من قبل الاقتران المركزيّ واجتمعت به الشمس وقد هو هلالًا؟
فالويل ثُم الويل لِمَن أخفى شهادة الحقّ أنّ الشمس حقًّا أدركت القمر فَولِد الهلال من قبل الكسوف واجتمعت به الشمس وقد هو هلالًا آية التصديق للإمام المهدي ناصر محمد اليماني، أم أنّكم يا محمد عودة ويا علماء الفلك بمدينة عبد العزيز الفلكيّة ومَن على شاكلتهم في العالمين لا تعلمون المقصود بقسَم الله العظيم أنّه خاب من دَسَّاها؟ أي: خاب من أخفاها عن العالمين تصديقًا لقول الله تعالى: { وَالشَّمْسِ وَضُحَاهَا ﴿١﴾ وَالْقَمَرِ إِذَا تَلَاهَا ﴿٢﴾ وَالنَّهَارِ إِذَا جَلَّاهَا ﴿٣﴾ وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَاهَا ﴿٤﴾ وَالسَّمَاءِ وَمَا بَنَاهَا ﴿٥﴾ وَالْأَرْضِ وَمَا طَحَاهَا ﴿٦﴾ وَنَفْسٍ وَمَا سَوَّاهَا ﴿٧﴾ فَأَلْهَمَهَا فُجُورَهَا وَتَقْوَاهَا ﴿٨﴾ قَدْ أَفْلَحَ مَن زَكَّاهَا ﴿٩﴾ وَقَدْ خَابَ مَن دَسَّاهَا ﴿١٠﴾ } صدق الله العظيم [ سورة الشمس ].
والمقصود بقوله تعالى: { وَقَدْ خَابَ مَن دَسَّاهَا ﴿١٠﴾ } أي: وقد خاب من أخفاها، أم أنّكم لا تعلمون المعنى اللغويّ العربيّ لكلمة الدّس؟ وأنّه الإخفاء.
ألا وأنّ الإمام المهديّ لا يلجأ لمُعجم قاموسكم لفهمه للقرآن؛ بل ألجأ لكتاب الله القرآن العظيم، فتعالوا لنعلم علم اليقين لكلمة الدّس وأنّه الإخفاء تصديقًا لقول الله تعالى: { وَإِذَا بُشِّرَ أَحَدُهُم بِالْأُنثَىٰ ظَلَّ وَجْهُهُ مُسْوَدًّا وَهُوَ كَظِيمٌ ﴿٥٨﴾ يَتَوَارَىٰ مِنَ الْقَوْمِ مِن سُوءِ مَا بُشِّرَ بِهِ ۚ أَيُمْسِكُهُ عَلَىٰ هُونٍ أَمْ يَدُسُّهُ فِي التُّرَابِ ۗ أَلَا سَاءَ مَا يَحْكُمُونَ ﴿٥٩﴾ } صدق الله العظيم [ سورة النحل ].
إذًا كلمة دسَّاها على وزن أخفاها، ولا نريد أن نخرج عن الموضوع بل فقط لكي نفهم المعنى اللغويّ لكلمة دسَّاها في القرآن العظيم؛ أي: أخفاها، بل جاء أعظم قَسَم في كتاب الله على حقيقة بعث نَفْس الإمام المهديّ وآيَته في الشمس والقمر وقد أفلح من زكّاها بشهادة الحقّ بأنّ الشمس حقًّا أدركت القمر تصديقًا للنفس المُصطَفاة، وقد خاب من دسَّاها؛ أي: أخفى شهادة الحقّ عنده أنّ الشمس حقًّا أدركت القمر، فقد خاب من دسَّاها ولسوف تعلمون، فمن لم يَتُب ويُبيّن للناس فسوف يلعنه الله ويلعنه اللاعنون.
وكذلك لا حُجّة للبشر كون القمر البدر قبل أوانه هو البُرهان الأكبر، كما سوف يحدث بعد غروب شمس يوم الثلاثاء ليلة الأربعاء ليلة تمام البدر لقمر شهر شوال.
ويا أهل فلسطين لقد سبقت بيانات الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني لصُنّاع القرار في العالم الإسلاميّ ( العرب والعجم ) فلن نكتب بيانًا جديدًا حين الحدث.
وكل عام وأنتم طيّبون وعلى الحق ثابتون وجميع المسلمين، وأنَّ لعنة الله على الظالمين المجرمين المُعتَدين على المسجد الحرام الأقصى في فلسطين، وليس بأوليائه اليهود وهم شاهدين على أنفسهم بالكفر ظاهرًا وباطنًا تصديقًا لقول الله تعالى: { مَا كَانَ لِلْمُشْرِكِينَ أَن يَعْمُرُوا مَسَاجِدَ اللَّهِ شَاهِدِينَ عَلَىٰ أَنفُسِهِم بِالْكُفْرِ ۚ أُولَٰئِكَ حَبِطَتْ أَعْمَالُهُمْ وَفِي النَّارِ هُمْ خَالِدُونَ ﴿١٧﴾ إِنَّمَا يَعْمُرُ مَسَاجِدَ اللَّهِ مَنْ آمَنَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ وَأَقَامَ الصَّلَاةَ وَآتَى الزَّكَاةَ وَلَمْ يَخْشَ إِلَّا اللَّهَ ۖ فَعَسَىٰ أُولَٰئِكَ أَن يَكُونُوا مِنَ الْمُهْتَدِينَ ﴿١٨﴾ } صدق الله العظيم [ سورة التوبة ].
وسلامٌ على المُرسَلين والحمدُ لله ربِّ العالمين..
خليفةُ الله الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
___________________
[ لقراءة البيان من الموسوعة ]
Al' Im Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني
29 - رمضان - 1442 هـ
11 - 05 - 2021 مـ
10:51 مساءً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
[ili kufwatilia cha bayana asili]
https://albushra-islamia.net./showthread.php?p=348556
_______________
عاجلٌ من الإمام المهديّ إلى كُلّ مُسلمٍ مُستَسلمٍ لربِّ العالمين ..
Hivi Punde Kutoka Kwa Al'Imam Al'Mahdi Kwa Kila Mwislamu Amejisalimisha Kwa Mola Mlwzi Wa Ulimwengi ..
Bismillah Al'Rahman Al'Rahim Na Sala Na Salam JuYa Muhammad Mtume Wa Allah Na Mitume Wote Na Walio Wafwata Kwa Wema Mpaka Siku Ya Dini..
Salamu Za Allah Ju Yenu Na Rehema Za Allah Na Baraka Zake Na Neema Ya Radhi Zake Wapendwa Wangu Ma Ansar Walio Tangulia Walio Bora, Kul Aam Wa Antum Twayibun Wa Ala Alhaki Thabitun Enyi Ma Ansar Wahishimiwa, Na awaongoze Allah waislamu njia yake ilio nyoka, Eeee laiti watowaji fatwa wa waislamu na viongozi wao kua wacha Mungu Mola Mlezi wa ulimwengu basi wasilishe waislamu mpaka washuhudie kuonekana mwandamo wa mwezi wa shawal kwa jicho la yakini ama hata kwa darbini kubwa na hivo ili ibainike kwa ulimwengu kwamba kweli limefikilia jua mwezi na kwamba wao kweli wameingia katika zama za masharti ya saa kuu na wao wako katika mughafala wanakanusha.
Na pamoja ya kwamba usiku hu baada kuzama jua la juma inne usiku wa juma tano ni usiku wa kwanza wa shawal kulingana na kufikiliwa, Na lau wao hawatotangaza idi ya fitri ila baada kuthibitika mwandamo wa shawali (Usiku wa tatu katika shawal) ingekua ni kheri kwao mbele ya Mola wao Mlezi, Kwahivo wangeingia nyumba kwa milango yake na inge bainika kwa walimwengu wote kwamba jua kweli limefikia mwezi kwakua wao hawatouwona ispokua usiku wa tatu; Na najua na elewa nacho kisema kwakua mimi hivo hivo nakuta kufikiliwa kwenye ilio wazi maana yake kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim kua wao hawatouwona mwandamo wa mwezi hata kwa madarbini yao makubwa kabisa basi hawatouwona watu wote ispokua kwa pamoja bila kutafautiana watokezea mbele yao ni wa siku mbili ama wa siku tatu, Basi hayo ikiwa wamefwata amri ya Allah na Mtume wake basi hawafungi mpaka waone mwandamo na hawafunguwi mpaka wawuone, Lakini wao wametupiliambali amri ya Allah na Mtume wake kwa ukuta kiasi ya kua wao wamefwatilia mwandamo wa siku ya shirini na tisa shabani wala hawkuona na hivo hivo siku ya thalathini shabani (Usiku wa thalathini na Moja) wala hawakuona baada kuzama jua la juma tatu usiku wa juma inne, Kisha wakafunga ilhali wamehalifu amri ya Allah na Mtume wake na hayo ni kutokana na jeuri zao na kiburi na kujighuri kwao, Na hivo ili wasiuwoni walimwengu siku ya juma inne usiku wa jumatano waseme: (Usiku Mbile kuamkia watatu).
Na enye ma3ashara ya viongozi wa waislamu na watowaji fatwa wao Wallahi Ambae hapana Mola ispokua Yeye hamujakhalifu amri ya Nasser Muhammad Al'Yamani bali mumekhalifu amri ya Allah na Mtume Wake.
Na kwa hali zote.. ikiwa jumatano ni kutimiza basi nayo ni kwa kuona mwandamo kwakua nayo haitakaniwi kwenu mulishe watu mpaka muone mwandamo wa shawali lakini ikiwa hamukuona mwandamo wa shawali baada ya kuzama jua la siku ya jumatano usiku wa alhamisi basi vipi mutatangaza kuthubutu kuonekana mwandamo wa shawali kwa urongo na mufuturishe watu kabla kuonekana mwandamo wa shawali?! Hivi hamuwe wachamungu?
Na Akasema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[Sisi ni umma hatuhisabu basi fungeni kwa kuona na funguweni kwa kuona] Sadaqa Aleyhi Asalat Wa Asalam;
[ نحن أمة لا نحسِب فصوموا لرؤيته وافطروا لرؤيته ]صدق عليه الصلاة والسلام
Na yuwakusudia kwamba sisi ni umma tunaingia ma nyumba kwa milango yake basi hatufungi kulingana na kujua kwetu kwa ma hisabu ya kushikana kwa mwezi katika karara kwengwe nayo ni wanao ita wanasayansi wa falaki kwa hisabu za falaki kwa kushikana kituoni mpaka ithubutu kwetu kuonekana kwake baada kupita karara kwongwe na inatokezea mwangaza wa mwandamo mpya kwa wenye kuchunguza, Na kwajili ya hivo Amesema Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam: [Fungeni kwa kuona na funguweni kwa kuona];
[ صوموا لرؤيته وافطروا لرؤيته ]
Ispokua kutimiza idadi kwa kuona kusadikisha kauli yake ju yake sala na salam:
[ Musifunge mpaka muone mwandamo wala musifunguwe mpaka muone mwandamo] Sadaqa Aleyhi Asalat Wa Asalam,
[ لا تصوموا حتى تروا الهلال ولا تفطروا حتى تروه ] صدق عليه الصلاة والسلام،
Kutekeleza Amri ya Allah kwenye ilio wazi maana yake kitabu chake kwenye kauli ya Allah Ta3ala:
{ Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi. Basi atakaye kuona mwiongoni mwenu mwandamo basi na afunge. Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini, basi atimize hisabu katika siku nyengine. Mwenyezi Mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hisabu, na mumtukuze Mwenyezi Mungu kwa kuwa amekuongoeni ili mpate kushukuru(185)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].
{ شَهْرُ رَمَضَانَ الَّذِي أُنزِلَ فِيهِ الْقُرْآنُ هُدًى لِّلنَّاسِ وَبَيِّنَاتٍ مِّنَ الْهُدَىٰ وَالْفُرْقَانِ ۚ فَمَن شَهِدَ مِنكُمُ الشَّهْرَ فَلْيَصُمْهُ ۖ وَمَن كَانَ مَرِيضًا أَوْ عَلَىٰ سَفَرٍ فَعِدَّةٌ مِّنْ أَيَّامٍ أُخَرَ ۗ يُرِيدُ اللَّهُ بِكُمُ الْيُسْرَ وَلَا يُرِيدُ بِكُمُ الْعُسْرَ وَلِتُكْمِلُوا الْعِدَّةَ وَلِتُكَبِّرُوا اللَّهَ عَلَىٰ مَا هَدَاكُمْ وَلَعَلَّكُمْ تَشْكُرُونَ ﴿١٨٥﴾ } صدق الله العظيم [ سورة البقرة ].
Na hivo hivo Ametuamuru Allah kwenye ilio wazi maana yake kitabu chake kutimiza idadi ya ramadhani mpaka tuone mwandamo kwakua nayo ni masiku za kuhisabu mpaka kuonekane mwandamo wa shawali kusadikisha ya Allah Ta3ala:
{ Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi. Basi atakaye kuona mwiongoni mwenu mwandamo basi na afunge. Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini, basi atimize hisabu katika siku nyengine. Mwenyezi Mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hisabu, na mumtukuze Mwenyezi Mungu kwa kuwa amekuongoeni ili mpate kushukuru(185) Na waja wangu watakapo kuuliza khabari zangu, basi Mimi nipo karibu. Naitikia maombi ya mwombaji anapo niomba. Basi na waniitikie Mimi, na waniamini Mimi, ili wapate kuongoka (186)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].
{ شَهْرُ رَمَضَانَ الَّذِي أُنزِلَ فِيهِ الْقُرْآنُ هُدًى لِّلنَّاسِ وَبَيِّنَاتٍ مِّنَ الْهُدَىٰ وَالْفُرْقَانِ ۚ فَمَن شَهِدَ مِنكُمُ الشَّهْرَ فَلْيَصُمْهُ ۖ وَمَن كَانَ مَرِيضًا أَوْ عَلَىٰ سَفَرٍ فَعِدَّةٌ مِّنْ أَيَّامٍ أُخَرَ ۗ يُرِيدُ اللَّهُ بِكُمُ الْيُسْرَ وَلَا يُرِيدُ بِكُمُ الْعُسْرَ وَلِتُكْمِلُوا الْعِدَّةَ وَلِتُكَبِّرُوا اللَّهَ عَلَىٰ مَا هَدَاكُمْ وَلَعَلَّكُمْ تَشْكُرُونَ ﴿١٨٥﴾ وَإِذَا سَأَلَكَ عِبَادِي عَنِّي فَإِنِّي قَرِيبٌ ۖ أُجِيبُ دَعْوَةَ الدَّاعِ إِذَا دَعَانِ ۖ فَلْيَسْتَجِيبُوا لِي وَلْيُؤْمِنُوا بِي لَعَلَّهُمْ يَرْشُدُونَ ﴿١٨٦﴾ }صدق الله العظيم [ سورة البقرة ].
Ama pindi wakingia watu katika zama za masharti makubwa ya kiyama Basi Wallahi Ambae hapana Mola ispokua yeye hawauwoni ispokua kwa pamoja bila kutafautiana sawa sawa; iwe sawa sehemu zilio wazi ama sehemu zilio fungika siku ya kutokezea kwake ju yao kwa mara ya kwanza inatimu kuonekana kwake mbele ya watu wote isemekane: (Ni wa siku mbili ama tatu) Kwa sababu kua jua limefikilia mwezi, Na ikafikila shabani ramadhani, Na ikafikilia ramadhani shawali, Basi kila mwezi imefikilia mwezi ulio kabla yake na wala sio ju yenu kwa hayo kitu, Na wala haitopunguza kwenye saumu yenu kitu lau ingekua hamukutangaza funga ya ramadhani ispokua baada kuzama jua la juma inne usiku wa jumatano baada walipo ona watu wote mwandamo wa ramadhani umefura (Wa siku mbili usiku wa tatu) Basi ndio wamini waislamu wote kwamba jua kweli limefikilia mwezi na kwamba wao kweli wameingia katika masharti ya kiyama makubwa ndio wamsadiki Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad na hivo ndio wafunge; Na watafunga Ramadhani siku thalathini kuanzia mwaka wenu hu 1442 (Kuanzia jumatano); (Na thalathini alhamisi), Kisha watawuona mwandamo wa shawali umefura ni wa siku mbili ( Yani ni wa siku ya jumatano na wa siku ya alhamisi) Basi itatimu kuonekana kwake kwa watu wote baada kuzama jua la alhamisi usiku wa juma (Usiku wa tatu katika
shwali ya mwaka wenu hu 1442) Na hivo ndio itakavo endelea madamu jua linafikila mwezi mpaka itangulie usiku mchana kwa sababu ya kutokezea jua kwa upande wa magharibi yake kusadikisha sharti ingine katika masharti ya kiyama makubwa; Basi ishafika masharti yake na nyinyi muko katika ghafla mwakanusha, Basi nani atawakinga madhalimu kutokana na adhabu ya Mola Mlezi wa ulimwengu wale ambao wazuwia watu kuto fwata mlinganizi wa haki kutoka kwa Mola wao Mlezi wala sio kwa kutojua kutoka kwao bali ilhali wanajua?
Na katika wanasayansi wa falaki mwenye kushuhudia mwandamo wa shawali kabla kuzama jua la jumainne usiku wa jumatano nao uko kwenye hali ya kufikiliwa kwa kamera ile ile ambao imechukua picha nayo muhammad oda kushikana kwa mars na mwezi wa ramadhani wakati wa mchana siku ya kukutana mars baada idadi ya masiku imepita katika ramadhani, Basi kwa kamera hio hio hivo hivo wanashuhudia kuona mwandamo wa mwezi nao uko kwenye hali ya kufikiliwa kabla ya kuzama jua kwakua nayo inakizika kwa mwangaza wa jua kwa harara yake na yabaki mwangaza, Basi kwanini wasichukuwe picha ya mwandamo wa mwezi nao uko kwenye hali ya kufikiliwa picha live kwa video ya kamera ya muhammad oda ambao anao chukua nayo mwezi na sayari ya mars wakati wa mchana na peke watangaze kwa ushuhuda wa haki kutoka kwa Mola wao Mlezi kwamba kweli jua limefikilia mwezi ndio ukazaliwa mwandamo kabla ya kushikana kituoni ikakutana nae jua nae ni mwandamo?
Basi ole wao tena ole wao kwa yule alio ficha ushuhuda wa haki kwamba jua kweli limefikilia mwezi ikazaliwa mwandamo kabla ya kusuf ikakutana nae jua nae ni mwandamo alama ya kusadikisha Alimam Almahdi Nassaer Muhammad Al'Yamani, Ama kwamba nyinyi ewe muhammad oda na enyi wanasayansi wa falaki katika mji wa Abdulaziz wa kifalaki na kila ambae kama wao katika ulimwengu hamujuwi inao kusudiwa kwenye kiapo cha Allah Al3adhim kwamba amehasirika alio dasaha ? yani; Amehasarika mwenye kuificha tokeo hilo kwa walimwengu kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{Naapa kwa jua na mwangaza wake (1) Na kwa mwezi unapo lifuatia (2) Na kwa mchana unapo lidhihirisha (3) Na kwa usiku unapo lifunika (4) Na kwa mbingu na kwa aliye ijenga (5) Na kwa ardhi na kwa aliye itandaza (6) Na kwa nafsi na kwa aliye itengeneza (7) Kisha akaifahamisha uovu wake na wema wake(8) Hakika amefanikiwa aliye itakasa (9) Na hakika amekhasiri aliye ificha (10)} Sadaqa Allah Al3adhim [Ashams].
{ وَالشَّمْسِ وَضُحَاهَا ﴿١﴾ وَالْقَمَرِ إِذَا تَلَاهَا ﴿٢﴾ وَالنَّهَارِ إِذَا جَلَّاهَا ﴿٣﴾
وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَاهَا ﴿٤﴾ وَالسَّمَاءِ وَمَا بَنَاهَا ﴿٥﴾ وَالْأَرْضِ وَمَا طَحَاهَا ﴿٦﴾ وَنَفْسٍ وَمَا سَوَّاهَا ﴿٧﴾ فَأَلْهَمَهَا فُجُورَهَا وَتَقْوَاهَا ﴿٨﴾ قَدْ أَفْلَحَ مَن زَكَّاهَا ﴿٩﴾ وَقَدْ خَابَ مَن دَسَّاهَا ﴿١٠﴾ } صدق الله العظيم [ سورة الشمس ].
Na inao kusudiwa katika kauli ya Allah Ta3ala:
{Na hakika amekhasiri aliye ificha (10)}
{ وَقَدْ خَابَ مَن دَسَّاهَا ﴿١٠﴾ }
Yani hakika amehasirika aliye ificha, ama kwamba nyinyi hamujuwi maana ya neno ki lugha kwa kiarabu kwa neno la addas? nayo ni kuficha.
Eee hakika ya Alimam Almahdi hategemei kurudi kwa kamusi zeni kwa kuiyelewa kwake Al'Quran; Bali nategemea kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim, Basi njoni ili tujuwe kwa yakini kwa neno la addas nayo ni kuficha kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{Na mmoja wao akibashiriwa kwa msichana, uso wake unasawijika, naye kajaa chuki (58) Anajificha asionekane na watu kwa ubaya wa aliyo bashiriwa! Je, akae naye juu ya fedheha hiyo au amfiche udongoni? Tazama uovu wa wanavyo hukumu (59)}
Sadaqa Allah Al3adhim [Anahl].
{ وَإِذَا بُشِّرَ أَحَدُهُم بِالْأُنثَىٰ ظَلَّ وَجْهُهُ مُسْوَدًّا وَهُوَ كَظِيمٌ ﴿٥٨﴾ يَتَوَارَىٰ مِنَ الْقَوْمِ مِن سُوءِ مَا بُشِّرَ بِهِ ۚ أَيُمْسِكُهُ عَلَىٰ هُونٍ أَمْ يَدُسُّهُ فِي التُّرَابِ ۗ أَلَا سَاءَ مَا يَحْكُمُونَ ﴿٥٩﴾ } صدق الله العظيم [ سورة النحل ].
Kwahivo neno la dasaaha katika uzani ni kuificha, Wala hatutaki kutoka katika maudhui bali pekeyake ili tufahamu maana ya neno ki lugha kwa neno la dasaha katika Al'Quran Al3adhim yani ameificha, Bali imekuja kiapo kikubwa kabisa katika kitabu cha Allah ju ya uhakika wa kutumilizwa nafsi ya Alimam Almahdi na ishara yake katika jua na mwezi na amefauli mwenye kuitaksa kwa ushuhuda wa hali kwamba jua kweli limefikilia mwezi kusadikisha kwa nafsi ilio chaguliwa, Na amehasarika mwenye kuificha; Yani: Kuficha ushuhuda wa kweli kwake kwamba jua kweli limefikilia mwezi, Basi hakika amehasarika mwenye kuificha, Na hakika mutajua.. Basi ambae hatotubia na akabainisha kwa watu hakika Atamlani Allah na atalaniwa na wenye kulani.
Na kadhalika hawana hoja watu kwakua mwezi wa albadri mwezi kua kamili kabla siku zake ni ushuhuda mkubwa, Kama itakavo tokea baada kuzama jua la jumainne usiku wa jumatano usiku wa kutimia mwezi kua kamili ya mwezi wa shawali.
Na enyi watu wa falastin hakika imetangulia Bayana za Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani kwa watowaji mamuzi katika ulimwengu wa kislamu (Warabu na Maajami) Basi hatuandiki Bayana mpya wakati wa tokeo.
Na kul aam wa antum twayibun wa ala alhaki thabitun wa jamii almuslimin, Na hakika laana ya Allah ju ya madhalimu wahalifu wanao fanya uwaduwi ju ya msikiti wa haram alaqsa katika falastina, Wala sio ma wali wao ma yahudi na ilhali wanajishuhudia nafsi zao kwa ukafiri wazi wazi na kuficha kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{Haiwi kuwa makafiri ndio waamirishe misikiti ya Mwenyezi Mungu, hali wanajishuhudishia wenyewe ukafiri. Hao ndio ambao vitendo vyao vimeharibika, na katika Moto watadumu (17) Hakika wanao amirisha misikiti ya Mwenyezi Mungu ni wale wanao muamini Mwenyezi Mungu, na Siku ya Mwisho, na wakashika Sala, na wakatoa Zaka, na wala hawamchi ila Mwenyezi Mungu. Basi huenda hao wakawa katika waongofu (18)} Sadaqa Allah Al3adhim [Atawuba].
{ مَا كَانَ لِلْمُشْرِكِينَ أَن يَعْمُرُوا مَسَاجِدَ اللَّهِ شَاهِدِينَ عَلَىٰ أَنفُسِهِم بِالْكُفْرِ ۚ أُولَٰئِكَ حَبِطَتْ أَعْمَالُهُمْ وَفِي النَّارِ هُمْ خَالِدُونَ ﴿١٧﴾ إِنَّمَا يَعْمُرُ مَسَاجِدَ اللَّهِ مَنْ آمَنَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ وَأَقَامَ الصَّلَاةَ وَآتَى الزَّكَاةَ وَلَمْ يَخْشَ إِلَّا اللَّهَ ۖ فَعَسَىٰ أُولَٰئِكَ أَن يَكُونُوا مِنَ الْمُهْتَدِينَ ﴿١٨﴾ } صدق الله العظيم [ سورة التوبة ].
Na Salam Ju Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Khalifa Wa Allah Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
خليفةُ الله الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_______________
اقتباس المشاركة 348556 من موضوع عاجلٌ من الامام المهدي إلى كل مسلم مستسلم لرب العالمين
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..