- 1 -
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
30 - 03 - 1428 هـ
18 - 04 - 2007 مــ
08:56 مساءً
https://albushra-islamia.net./showthread.php?t=1174
ـــــــــــــــــــــ

عاجل خطاب المهديّ المنتظَر إلى كافة البشر
24 - 11 - 2006
Hivi Punde Khutba Ya Al'Mahdi Al'Muntadhar Kwa Binadamu Wote
24- 11 - 2006 ..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim
Kutoka Kwa Al'Imam "Al'Nasser Li Muhammad" Mnusura wa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Nasser Muhammad Al'Yamani, Khalifa Wa Allah Ju Ya Binadamu imamu Wa Kumi Na Mbili Kutoka Kwa Ahlulbeyt Al'Mutahar Kwa Bush Mdogo Na Kwa Wote Viongozi Wa Binadamu Na Kwa Binadamu Wote Katika Ubeduwini Na Mijini Asalam Ju Ya Alio Fwata Uongofu Katika Njia ilio Nyoka..

Enye Watu Hakika nyinyi Hamujui Cheo changu wala hamuelewi jambo langu wadhabdhabina hamukusadiki wala hamujakadhibu, Na natoa Qasam Billah Al3adhim Al'Na3im Ala3dham Ambao Amefanya iko katika Ridhwan Nafsi Yake Hakika ya Jina Lake Kuu Al'Na3im Al'a3dham Neema Kuu Kuliko Janna Yake neema ndogo Neema ya ru7h na rai7han katika nyoyo za wanao abudu Al'Na3im Abao mutaulizwa nayo siku ambao haulizwi kuhusu dhambi yake mtu yoyote wala jini yoyote; Siku ambao haitofa mali wala watoto ispokua atakae kwenda kwa Allah na Moyo ulosalimika kutokana na shirki akapata Ridhwan Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu, Kwamba Mimi Ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Ambae Amepewa Hikma Na iman Mja ambae Anaejua Habari Ya Al'Rahman Na ambae alio Tajwa katika Al'Quran Kwenye Kauli Yake Allah Ta3ala:
{الرَّحْمَٰنُ فَاسْأَلْ بِهِ خَبِيرًا} صدق الله العظيم [الفرقان:٥٩].

Allah Ta3ala Asema:
{ Arrahman, Mwingi wa Rehema! Uliza khabari zake kwa yule anae mjua} Sadaqa Allah Al3adhim [Alfurqan:59].

Ni Yule Ambae Amemtukuza Allah na daraja ya Ju katika iman ili mujuwe uhakika wa hadithi ya Mtume wa Allah:
[الإيمان يمانٍ والحكمة يمانيّة].
[ iman Ni Yamani Na Hikma Ni Ya Wa Yemeni].


Na hakika mimi ndio yule "Al'insan" Mtu ambae Amemfundisha Allah Bayana Ya Al'Quran, Na kwamba jua na mwezi zina hisabu, Na kwamba Siku moja Ya Jua kama siku alfu moja munavo hisabu kwa siku zenu masa 24, Na mwezi wa jua kama miyezi alfu moja vile munavo hisabu katika miyezi yenu ya kimwezi, Na kwamba Mwaka Wa Jua Kama miyaka alfu moja kwa hisabu yenu katika miyaka yenu, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَيَسْتَعْجِلُونَكَ بِالْعَذَابِ وَلَنْ يُخْلِفَ اللَّهُ وَعْدَهُ وَإِنَّ يَوْمًا عِنْدَ رَبِّكَ كَأَلْفِ سَنَةٍ مِمَّا تَعُدُّونَ} صدق الله العظيم [الحج:٤٧].

Allah Ta3ala Asema:
{ Na wanakuhimiza ulete adhabu, lakini Mwenyezi Mungu hatakwenda kinyume na ahadi yake kabisa. Na hakika siku moja kwa Mola wako Mlezi ni kama miaka elfu mnavyo hisabu nyinyi } Sadaqa Allah Al3adhim [Alahaj:47].


Na Hivo kwamba Jua linatimu mzunguko wake kujizungukia nafsi yake ili imalizike siku ndio imalizike siku yake baada kumalizika siku alfu moja katika siku zenu ambao mwahisabu nayo miyezi yenu, Na ama mwzi wa falaki ya kijua basi inamalizika baada kumalizika miyezi alfu moja katika miyandamo Ya Miyezi Yenu, Na ama mwaka wa falaki ya kijua basi inamalizika baada kumalizika miyaka alfu moja munavo hisabu katika miyaka yenu, Basi ikiwa mwataka kujua siku ya kijuwa ambao kwenye jua lenyewe kutokana na mzunguko kwa nafsi yake- wala haina usiku bali mchana wakuendelea- Basi kama tulivo wanabahisha kabla kwamba siku moja inakua sawa na siku alfu moja kwa hisabu yenu munavo hisabu katika siku zenu masa 24, Na ikiwa mumehisabu siku alfu moja katika siku zenu ni ngapii itakua katika hisabu basi mutapata inakua sawa na miyaka miwili na miyezi Tisa na siku kumi kwa sahihi sana inakata kosa basi hio ndio urefu wa siku ya kijua kwa jua lenyewe katika hisabu kwenye kitabu inamalizika siku yake baada kumalizika miyaka miwili na miyezi tisa kwa sahihi sana inakata kosa.
Na kwavile urefu wa siku ya kijua ni miyaka miwili na miyezi tisa kwahivo mwezi wa falaki ya kijua itakua sawa na usiku wa leilatul'Qadri borra kuliko miyezi alfu na hivo ni kwajili mwezi wa falaki ya kijua inakua sawa katika hisabu inakua sawa na miyaka thamanini na tatu na miyezi mi inne kwa sahihi sana haikubali kosa kwnye siku zenu, Na kwavile miyezi kwenye kitabu cha Allah miyezi kumi na mbili sawa katika mahisabu ya kijua kwa mwaka wa jua katika falaki ama mahisabu ya kimwezi kwa hisabu ya miandamo ambao munahisabu ndani yake miyaka, Kwahivo mwaka wa falaki ya kijua inatokana na miyezi kumi na mbili ya kijua na kila mwezi ya kijua inawafikiana na usiku wa leilatu'alqadri miyaka thamanini na tatu na miyezi mi inne, Basi mumitaka kupata mwaka wa falaki ya kijua mutaenda kuipata Ni
{أَلْفِ سَنَةٍ مِمَّا تَعُدُّونَ}
{ miaka elfu mnavyo hisabu nyinyi },
Kwa usawa sahihi sana inakata kosa na hisabu Ameifafanua Allah kwenu katika Al'Quran Al3adhim Ufafanuzi, Na hivo ni kwajili mwezi ya falaki ya kijua inakua sawa na usiku wa leilatul'Qadri miyaka thamanini na tatu na miyezi mi inne basi mukikariri hivo kwa miyezi kumi na mbili mutapata natija ya mwaka wa falaki ya kijua
{أَلْفِ سَنَةٍ مِمَّا تَعُدُّونَ}
{ miaka elfu mnavyo hisabu nyinyi }
,
Na mwisho wake ni siku ya Arafa na muzdalifa, Na mimi sifasiri Al'Quran kama tafsiri zenu kwa nambari za ma Aya bali kwa nambari Amezitaja Allah kwenye nassi ya Al'Quran, Na Je nyinyi waumini?


Na enye watu hakika mimi nae ilimu kuwazidi nyote kwa kitabu Cha Allah kwa Neema kutoka kwa Allah na fadhla na akanizidisha zaidi ukunjufu katika ilimu na mwili na katika walio kirimiwa basi haui mwiliwangu baada ya kufa uyusi wanuka wala mifupa ya kumumunyuka, Na nitaenda kuwa'nabahisha kwa siku ya kusmama arafa kwa yale Alio nifundisha Mola Mlezi wangu ili itabikiane na siku ya hisabu siku ya arafa na muzdalifa na hivo ni kwa yale Alio Nifundisha Mola Mlezi Wangu katika siri ya ma hisabu katika kitabu kwa siku ya adhabu kwa hisabu ya mwaka wa falaki ya kijua. Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{وَيَسْتَعْجِلُونَكَ بِالْعَذَابِ وَلَنْ يُخْلِفَ اللَّهُ وَعْدَهُ وَإِنَّ يَوْمًا عِنْدَ رَبِّكَ كَأَلْفِ سَنَةٍ مِمَّا تَعُدُّونَ} صدق الله العظيم [الحج:٤٧].
Allah Ta3ala Asema:
{ Na wanakuhimiza ulete adhabu, lakini Mwenyezi Mungu hatakwenda kinyume na ahadi yake kabisa. Na hakika siku moja kwa Mola wako Mlezi ni kama miaka elfu mnavyo hisabu nyinyi } Sadaqa Allah Al3adhim [Alahaj:47].


Na Sikutokezea kwenu Baina ya ulimwengu wa internet ili kubalighisha ila katika mwaka wa mwisho wa jua ambao ni maelfu bali ni katika mwezi wa mwisho ndani yake; Bali ni katika siku ya mwemisho katika mwezi wa kumi na mbili baada kuingia siku ya thalathini katika mwezi wa kumi nambili na ambao imetokea ndani yake khusuf Eclipse ya mwezi ambao ni onyo katika ramadhani 1425 hijria baada kupita katika siku ya jua mwisho miyezi sita ikaingia mwezi wa ramadhani 1425 hijria, Na hivo ni kwajili ya siku ya jua na mwezi wa jua na mwaka wa falaki ya jua inaanza kutoka Moja Rabi3alawal katika mwisho wa safar alasfar na inamalizikia siku ya jua baada kumalizika miyaka miwili na miyezi tisa na siku kumi ndio inawafikiana na siku ya arafa na idi kubwa katika siku ya mwisho idi ya aladh'ha almubarak na kwa vile mwanzo wa rabi3alawuwal 1425 hijria ilikua ni siku ya juma inne basi haitakiwi kua siku ya arafa bila siku ya juma mosi wala sio siku ya juma kama vile munavo ngojea kusmama arafa mwaka hu 1427 hijria, Na hivo ni kwajili jua litatokezea kutoka magharibi yake kwa idhini ya Allah katika mwaka wenu hu 1427, Na Asadikisha Allah ibada zake kwa haki ndio Awapige ma shetani kwa mawe kutokana na sijil moto yamechongwa kulekezwa Akaifanya Allah ziko tayari kuvuka ulinzi wa anga, Na ulinzi wa anga ni ile kava ya anga ambao inawahifadhi nyinyi kutokana na mawe ya anga ambao munaona inaungua hapo hapo inapo ingia kwenye kava ya Ardhi ambao inalinda anga kuivuka ndio inaungua basi inaigauza ulinzi wa anga kua jivu Rahma kutoka kwa Mola Mlezi wenu na hio ndio Sakafu ilio hifadhiwa Neema kutoka kwa Allah ili awalinde kutokana na ma afa ya kianga lakini wengi wa watu hawashukuru:
{لَئِنْ شَكَرْتُمْ لَأَزِيدَنَّكُمْ وَلَئِنْ كَفَرْتُمْ إِنَّ عَذَابِي لَشَدِيدٌ} صدق الله العظيم [ابراهيم:٧].

Allah Ta3ala Asema:
{ Mkishukuru nitakuzidishieni; na mkikufuru, basi adhabu yangu ni kali } Sadaqa Allah Al3adhim [ibrahim].


Mukakata inyi ma3ashara Ya Makafiri ispokua kukufuru kwa neema ya Mola wenu Mlezi na mukatangaza ju yake vita dhidi ya Nur yake na munataka muzime Nur Ya Allah kwa midomo yenu na Anakata Allah ispokua Aitimize Nur Yake hata kama watachukia wahalifu.


Na Nawaonya na adhabu kali kutoka Kwake, Na nawaonya wale walio sema Amechukua Allah Mtoto hawana wao nayo ilimu wala babazao basi hakika tume wanabahisha kua yeye ni "Al'Raqim" nambari ilio ongezwa pamoja na " As'hab Alkahf" watu wa pangu huyo ni Al'Masi7h isa ibnu Maryam ju Yake Sala Na Salam.


Na enyi Ma3ashara ya waislamu na wakristo amkeni hakika wao wanakuja; Wawili! Kila Moja Wao anasema Kwamba Yeye Ni Al'Masi7h isa mwana Wa Maryam, Na Ama Moja Wao Ni Batil wala sio Al'Masi7h isa mwana wa Maryam bali yeye ni shetani dhati yake ibilisi maluni ambae anataka kumzushia Al'Masi7h isa mwana wa Maryam Aseme kwamba hakika yeye ni Al'Masi7h isa mwana wa Maryam na kwamba Yeye Ndio Allah Mola Mlezi wa Ulimwengu! Na haikua kwa mwana wa Maryam kwamba aseme hivo; Bali yeye ni "Kadhab" Mrongo kwajili ya hivi jina lake ni "Al'Masi7h Alkadhab" Masihi Mrongo, Na Ama Al'Masi7h isa mwana wa Maryam basi atazungumza na nyinyi akiwa mtu mzima kama alivo zungumza na wale kabla yenu na yeye yuko katika uchanga mdogo Aseme:
{ إِنِّي عَبْدُ اللَّـهِ آتَانِيَ }
[مريم]
{
Mimi ni mja wa Allah Amenipa} [Maryam]
Lakini Allah Amenifanya ni imamu wake na awe yeye ni miongoni mwa wema wanao fwata na ananisikiza basi haniasii mimi amri, Na mfano wangu na mfano wake kama mfano wa kalimu Allah Musa na Mwanamume mwema, Akamwambia yeye Kalimu Allah Musa ju yake sala na salam je naweza kukufwata kwa kunifundisha kwa yale ulio fundishwa Katika uongofu? Na kwavile yule mwanamume mwema ana ilimu kuliko Musa kalimu Allah kwajili ya hivo akamwambia hakika wewe hutoweza kuvumila kua na mimi na vipi utasubiri ju ya yale hukua na habari nayo? Na kwavile Musa anajua msingi katika kitabu kwamba ju ya kila mjuzi mjuzi zaidi, Na kwamba Allah Amefanya uongozi kwenye safari yao ni ya yule mwanamume mwema wala sio Musa Kalimu Allah ju yake Sala Na Salam na hivi ni kwajili yeye ana ilimu kuliko Musa kwajili ya hivo akasema Musa utanipata in sha Allah ni mwenye kuvumilia na wala sitoku'asii wewe amri yoyote, Lakini ikatokea hukmu ambao amehukumu nayo yule mwanamume Mwema kabla haijaanza safari:
{إِنَّكَ لَنْ تَسْتَطِيعَ مَعِيَ صَبْرًا}
[الكهف:67]
{ Hakika wewe hutaweza kuvumilia kuwa pamoja nami }
[Alkahf:67].,
Na hivo Hatu'kumpata Musa anasubiri Hata kwa moja peke.


Na enyi ma3ashara ya waislamu, ispokua Anataka Allah kwamba Awajulishe nyinyi Na Musa na watu wote muchunge kuingilia kwenye mambo ya Allah na kwamba nyinyi sio wenye kugawa Rahma Yake mukafanya ilimu ya Allah ni ya Mitume peke kutoka Kwa Mola Mlezi wa Ulimwengu, Na Anataka Allah Kwamba Awajulishe kua wako katika wema ambao wana ilimu kuliko Mitume lakini wengi wa watu hawajuwi. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{أَهُمْ يَقْسِمُونَ رَحْمَتَ رَبِّكَ} صدق الله العظيم [الزخرف:٣٢].

Allah Ta3ala Asema: { Je wao ndio wanao gawanya Rahma Ya Mola Mlezi Wako} Sadaqa Allah Al3adhim [Alzukhruf:32].



Na nawajulisha kwamba Allah Atatangaza Vita ju ya wale wanataka kuzima Nur Ya Allah ku'anzia na usiku wa Juma kuanzia mwezi wa dhi alhija almubark 1427 Hijria, Na nawaonya enyi ma3ashara ya waislamu mutubu kwa Allah kutubia huwenda mukafaulu, Na nawaita watu wote waingie kwenye uwislamu wote kabla haijaja waadi wa haki na adhabu ya siku ya moshi, Allahuma nimebalighisha Allahuma Shuhudia.

Na enyi ma3ashara ya walimwengu wa inernet, Hakika Amefanya Allah miongoni mwenu ni manaibu wa Al'Mahdi Al'Muntadhar basi balighisheni kuhusu mimi na nikiwa ni mrongo basi ju yangu urongo wangu na nikiwa ni mkweli basi hakika jambo ni zito na hatari ju ya alie kata na akafanya kiburi:
{أَلَيْسَ الصُّبْحُ بِقَرِيبٍ} [هود:81]
{ Hivi si asbuhi ni karibu } [Hud:81]?
Na Hatokhalifu Allah Waadi Yake, Allahuma Samehe Na Urehemu Na Uhukumu baina yetu kwa haki hakuna baada ya hukumu yako hakika Wewe Ni Mwepesi Wa Kufanya Hisabu:


{قُلْ كَفَىٰ بِاللَّهِ شَهِيدًا بَيْنِي وَبَيْنَكُمْ وَمَنْ عِنْدَهُ عِلْمُ الْكِتَابِ} صدق الله العظيم [الرعد:٤٣].


Allah Ta3ala Asema:
{Sema tosha Allah kua shahidi baina yangu na baina yenu na yule ambae ana ilimu ya kitabu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alraad:43].

Na enyi ma3shara ya waislamu isiwafitini makosa ya ki imlai, Ispokua hio ni Miujiza:
Na vipi kwamba mimi na ilimu ya kubainisha haki kwa hi Al'Quran bora kuliko nyinyi pamoja kunizidi kwenu ju ya alghuna na qalqala na na7hu? Na hio ndio muisho wa ilimu yenu, Na hivo hivo Muhammad Mtume Wa Allah Hajuwi kuandika jina lake basi Akamfanya Ummiyn hajuwi kusoma wala kuandika na hivo ni miujiza yake lakini wengi wenu hamjuwi, Na Salam Za Allah Ju Ya Waja Wa Allah Wale Hawana Kiburi.


Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani.


وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..


الإمام ناصر محمد اليماني.
________________


اقتباس المشاركة 4206 من موضوع عاجل خطاب المهديّ المنتظَر إلى كافة البشر 24 - 11 - 2006 ..

- 1 -
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
01 - ربيع الثاني - 1428 هـ
18 - 04 - 2007 مـ
08:56 مساءً
( بحسب التوقيت الرسمي لأمّ القرى )
ـــــــــــــــــــــ



عاجل خطاب المهديّ المنتظَر إلى كافة البشر 24 - 11 - 2006 ..

بسم الله الرحمن الرحيم
من الإمام النّاصر لمُحمدٍ رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم ناصر محمد اليمانيّ، خليفة الله على البشر الإمام الثاني عشر من أهل البيت المطهّر إلى بوش الأصغر وإلى جميع قادات البشر وإلى جميع البشر في البوادي والحضر، والسلام على مَن اتَّبع الهدى إلى الصراط_____المستقيم..

يا أيّها النّاس إنكم لتجهلون قَدْري ولا تحيطون بأمري؛ مُذبذبين لا صدّقتم ولا كذّبتم، وأقسم بالله العظيم النّعيم الأعظم الذي جعل في رضوان نفسه حقيقة اسمه الأعظم؛ النّعيم الأعظم من جنة النّعيم؛ نعيم الروح والريحان في قلوب العابدين؛ النّعيم الذي عنهُ سوف تُسألون يوم لا يُسأل عن ذنبه إنسٌ ولا جانٌّ؛ يوم لا ينفع مالٌ ولا بنون إلّا مَن أتى الله بقلبٍ سليمٍ من الشرك فنال رضوان الله ربّ العالمين بأنّي أنا المهديّ المنتظَر والذي أوتي الحكمة والإيمان؛ العَبد الخبير بالرحمن والمذكور في القرآن في قول الله تعالى:
{الرَّحْمَٰنُ فَاسْأَلْ بِهِ خَبِيرًا} صدق الله العظيم [الفرقان:٥٩].

والذي شَرَّفه الله بأعلى درجةٍ في الإيمان لتعلموا حقيقة حديث رسول الله:
[الإيمان يمانٍ والحكمة يمانيّة].

وإني أنا الإنسان الذي علّمهُ الله البيان للقرآن، وأنّ الشّمس والقمر بحسبان، وأن يوم الشّمس كألف يومٍ مِمّا تعدّون بأيامكم (24 ساعة)، وأن شهر الشّمس كألف شهرٍ مِمّا تعدّون من شهوركم القمريّة، وأن سنة الشّمس كألف سنة مِمّا تعدّون بسنينكم. تصديقًا لقول الله تعالى:
{وَيَسْتَعْجِلُونَكَ بِالْعَذَابِ وَلَنْ يُخْلِفَ اللَّهُ وَعْدَهُ وَإِنَّ يَوْمًا عِنْدَ رَبِّكَ كَأَلْفِ سَنَةٍ مِمَّا تَعُدُّونَ} صدق الله العظيم [الحج:٤٧].

وذلك بأنّ الشّمس تُتِمّ دورانها حول نفسها لقضاء اليوم فينقضي يومها بعد أن ينقضي ألف يومٍ أرضيٍّ من أيامكم والذي تحسبون بها شهوركم، وأمّا الشهر الفلكيّ الشمسيّ فينقضي بعد أن ينقضي ألف شهرٍ من أهِلَّة شهوركم، وأمّا السّنة الفلكيّة الشّمسيّة فتنقضي بعد أن تنقضي ألف سنةٍ مِمّا تعدون من سنينكم.

فإذا شئتم أن تعلموا اليوم الشمسيّ الذي في ذات الشّمس نتيجة دورانها حول نفسها - وليس له ليلٌ بل نهارٌ بلاغ - فكما نبَّأناكم من قبل بأنّ اليوم الواحد يساوي ألف يومٍ مِمّا تعدّون من أيامكم (24 ساعة)، وإذا حسبتم الألف اليوم من أيّامكم كَم يساوي في الحساب فسوف تجدونه يساوي سنتين وتسعة أشهر وعشرة أيام بالدّقة المتناهية فذلك هو طول اليوم الشمسيّ في ذات الشّمس في الحساب في الكتاب ينقضي يومها بعد سنتين وتسعة أشهرٍ في منتهى الدّقة.

وبما أن طول اليوم الشمسيّ سنتين وتسعة أشهرٍ إذًا الشهر الفلكيّ الشمسيّ سوف يعادل ليلة القدر خير من ألف شهرٍ وذلك لأن الشهر الفلكيّ الشمسيّ في الحساب يساوي ثلاثةً وثمانين عامًا وأربعة أشهرٍ في منتهى الدّقة بأيّامكم، وبما أنّ الشهور في كتاب الله اثنا عشر شهرًا سواءً في الحسبان الشمسيّ لسنة الشّمس الفلكيّة أو الحسبان القمريّ لحساب الأهلّة التي تحسبون بها السنين، إذًا السّنة الفلكيّة الشّمسيّة تتكون من اثني عشر شهرًا شمسيًّا وكلّ شهرٍ بما يعادل ليلة القَدْر (ثلاثة وثمانون عامًا وأربعة أشهر)، فإذا شئتم الحصول على السّنة الفلكيّة الشّمسيّة فسوف تجدونها
{أَلْفِ سَنَةٍ مِمَّا تَعُدُّونَ} في منتهى الدّقة والحساب قد فصّله الله لكم في القرآن العظيم تفصيلًا، وذلك بأن الشهر الفلكيّ الشمسيّ بما يعادل ليلة القَدْر (ثلاثةٌ وثمانون عامًا وأربعة أشهرٍ) فإذا كرّرتم ذلك اثني عشر شهرًا تحصلون على الناتج للسنة الفلكيّة الشّمسيّة {أَلْفِ سَنَةٍ مِمَّا تَعُدُّونَ} ونهايتها يوم عرفة ومزدلفة، وأنا لا أفسر القرآن كتفسيركم بأرقام الآيات بل بأرقامٍ ذكرها الله بنصّ القرآن، فهل أنتم مؤمنون؟

يا أيّها النّاس إني أَعلَمكم بكتاب الله بنعمةٍ مِن الله وفضلٍ وزادني بسطةً في العلم والجسم؛ مِن المكرمين فلا يكون جسمي من بعد الموت جيفةً قذرةً ولا عظامًا نخرةً، ولسوف أُنَبِّئُكُمْ بيوم الوقوف بعرفة مِمّا علمني ربّي حتى يتطابق ليوم الحساب يوم عرفة ومُزدلفة وذلك مِمّا علَّمني ربّي في سرّ الحساب في الكتاب ليوم العذاب بحساب السّنة الفلكيّة الشّمسيّة. تصديقًا لقوله تعالى:
{وَيَسْتَعْجِلُونَكَ بِالْعَذَابِ وَلَنْ يُخْلِفَ اللَّهُ وَعْدَهُ وَإِنَّ يَوْمًا عِنْدَ رَبِّكَ كَأَلْفِ سَنَةٍ مِمَّا تَعُدُّونَ} صدق الله العظيم [الحج:٤٧].

ولم أَظهر لكم بين عالَم الإنترنت للتبليغ إلّا في آخر سنة الشّمس الألفيّة بل في آخر شهرٍ فيها؛ بل في آخر يومٍ في شهرها الثاني عشر بعد دخول اليوم الثلاثين في الشهر الثاني عشر والذي حدث خلاله خسوف القمر النذير في رمضان 1425 للهجرة بعد أن مضى من يوم الشّمس الأخير ستة أشهرٍ فدخل شهر رمضان 1425 للهجرة، وذلك لأن اليوم الشمسيّ والشهر الشمسيّ والسّنة الفلكيّة الشّمسيّة تبدأ من واحد ربيع الأول في نهاية صفر الأصفار وينتهي اليوم الشمسيّ بعد مُضي سنتين وتسعة أشهرٍ وعشرة أيامٍ فيوافق يوم عرفة والعيد الكبير في اليوم الأخير عيد الأضحى المبارك، وبما أن غُرّة ربيع الأول 1425 للهجرة كانت يوم الثلاثاء فلا ينبغي أن يكون يوم عرفة بغير يوم السبت وليس يوم الجمعة كما تنتظرون الوقوف بعرفة هذا العام 1427 للهجرة، وذلك لأن الشّمس سوف تطلع من مغربها بإذن الله في عامكم هذا 1427، ويصدق الله شعائره بالحقّ فيرجم الشياطين بحجارةٍ من سجيلٍ منضودٍ مُسوَّمةٍ فجعلها الله مُجَهَّزةً لاختراق الدفاع الجوِّيّ، والدفاع الجوِّيّ هو ذلك الغلاف الجوِّيّ الحافظ لكم من الحجارة الفضائيّة التي ترونها تحترق فور دخول غلاف الأرض الدفاع الجوِّيّ ومن اخترقه احترق فيحوّله الدفاع الجوِّيّ إلى رمادٍ رحمةً من ربّكم، وذلك هو السّقف المحفوظ نعمةً من الله ليحميكم من الآفات الفضائيّة ولكن أكثر النّاس لا يشكرون:
{لَئِنْ شَكَرْتُمْ لَأَزِيدَنَّكُمْ وَلَئِنْ كَفَرْتُمْ إِنَّ عَذَابِي لَشَدِيدٌ} صدق الله العظيم [ابراهيم:٧].

فأبَيتم يا معشر الكفار إلّا الكفر بنِعَم ربّكم وأعلنتم عليه الحرب ضدّ نوره وتريدون أن تطفِئوا نور الله بأفواهكم ويأبى الله إلّا أن يتمّ نوره ولو كره المجرمون.

وأُنذرُكم بأسًا شديدًا من لدنه، وأنذِرُ الذين قالوا اتّخذ الله ولدًا ما لهم به من علمٍ ولا لآبائهم فقد نبَّأناهم بأنهُ الرَّقيم المُضاف إلى أصحاب الكهف؛ ذلك هو المسيح عيسى ابن مريم عليه الصلاة والسلام.

ويا معشر المسلمين والنّصارى تيقَّظوا فإنهُم قادمون؛ اثنين! كلًّا منهم يقول بأنهُ المسيح عيسى ابن مريم، فأما أحدهم فهو باطلٌ وليس المسيح عيسى ابن مريم بل هو الشيطان بذاته إبليس الرجيم الذي يريد أن يفتري على المسيح عيسى ابن مريم فيقول أنَّهُ المسيح عيسى ابن مريم وأنّهُ الله ربّ العالمين! وما كان لابن مريم أن يقول ذلك؛ بل هو كذابٌ لذلك اسمه المسيح الكذاب، وأما المسيح عيسى ابن مريم فسوف يُكلمُكم كهلًا كما كَلَّم الذين مِن قبلكم وهو في المهد فيقول:
{إِنِّي عَبْدُ اللَّـهِ} [مريم]، ولكنّ الله جعلني إمامًا له ويكون هو مِن الصالحين التابعين ويَسمعُني فلا يعصي لي أمرًا، ومثلي ومثله كمثل كَليم الله موسى والرجُل الصالح، فقال له كَليم الله موسى عليه الصلاة والسلام هل أتَّبعُك على أن تُعلمَني مِمّا عُلِّمْت رُشدًا؟ ولأن الرجل الصالح أعلم من موسى كَليم الله لذلك قال إنك لن تستطيع معي صبرًا وكيف تصبر على ما لم تُحط به خُبرًا؟ ولأن موسى يعلم القاعدة في الكتاب بأن فوق كلّ ذي علمٍ عليم، وأنّ الله قد جعل الإمارة في رحلتهم للرجل الصالح وليس لموسى كَليم الله عليه الصلاة والسلام وذلك لأنهُ أعلَم مِن موسى ولذلك قال موسى ستجدني إن شاء الله صابرًا ولا أعصي لك أمرًا، ولكنهُ حَدَث الحُكم الذي حَكَم به الرجُل الصالح قبل بدء الرحلة: {إِنَّكَ لَنْ تَسْتَطِيعَ مَعِيَ صَبْرًا} [الكهف:67].، ولذلك لم نجد موسى يصبر حتى على واحدةٍ فقط.

ويا معشر المسلمين، إنما يريد الله أن يُعلَّمَكم وموسى والنّاس أجمعين أن تحذَروا التدخُّل في شؤون الله وأنكم لستم من يَقسم رحمته فجعلتم عِلم الله حصريًّا على المُرسَلين من ربّ العالمين، ويريد الله أن يُعلّمكم بأنه يوجد في الصالحين مَن هو أعلم مِن المُرسلين ولكن أكثركم لا تعلمون. تصديقًا لقول الله تعالى: {أَهُمْ يَقْسِمُونَ رَحْمَتَ رَبِّكَ} صدق الله العظيم [الزخرف:٣٢].

وأحيطكم علمًا بأن الله سوف يُعلن الحرب على الذين يريدون أن يطفِئوا نور الله بدءًا من ليلة الجمعة غُرّة شهر ذي الحِجّة المبارك 1427 للهجرة، وأنذرُكم يا معشر المسلمين أن تتوبوا إلى الله متابًا لعلكم تفلحون، وأدعو النّاس أجمعين إلى الدخول في الإسلام كافة قبل مجيء الوعد الحقّ وعذاب يومٍ عقيمٍ، اللهم قد بلغت اللهم فاشهد.

ويا معشر عالَم الإنترنت، لقد جعل الله الصالحين مِنكم نوّاب المهديّ المنتظر فبَلِّغوا عني فإن كنت كاذبًا فعليَّ كذبي وإن كنت صادِقًا فالأمر عسيرٌ وخطرٌ على مَن أبى واستكبر:
{أَلَيْسَ الصُّبْحُ بِقَرِيبٍ} [هود:81]؟ ولن يخلف الله وعده.

اللهم اغفر وارحم واحكُم بيننا بالحقّ لا مُعَقِّب لِحُكمك إنك سريع الحساب:
{قُلْ كَفَىٰ بِاللَّهِ شَهِيدًا بَيْنِي وَبَيْنَكُمْ وَمَنْ عِنْدَهُ عِلْمُ الْكِتَابِ} صدق الله العظيم [الرعد:٤٣].

ويا معشر المسلمين لا تفتنكم الأخطاء الإملائيّة إنما ذلك مُعجزةٌ، فكيف أنّني أعلم البيان الحقّ لهذا القرآن خيرًا منكم برغم تفوُّقكم عليَّ في الغُنّة والقَلقَلة والنحو؟! وذلك مبلغكم من العلم، وكذلك محمد رسول الله لا يعرف يكتب اسمه فجعله أميًّا وذلك معجزةٌ له ولكن أكثركم تجهلون، وسلام الله على عباد الله الذين لا يستكبرون.

وسلامٌ على المُرسَلين، والحمد لله ربّ العالمين..
الإمام ناصر محمد اليمانيّ.
________________

اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..