Kikao Cha AL'TASHAHUD Cha Mwisho)}]

Salam Za Allah Juu Yenu Na Rahma Za Alllah Na Barakatuhu, Al'Salam Juu Yetu Na Juu Ya Waja Wa Allah Wema, Na Salam Juu Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabi Alalamin..
Na Enyi Wapenzi Wangu Al'Anssar Nitawaeleza Kuhusu Al'Tashahud Ya Mwisho Peke, Basi Nayo Kama Ifwatavo:
{شَهِدَ اللَّهُ أَنَّهُ لاَ إِلَهَ إِلاَّ هُوَ وَالْمَلائِكَةُ وَأُوْلُواْ الْعِلْمِ قَائِمًا بِالْقِسْطِ لاَ إِلَهَ إِلاَّ هُوَ الْعَزِيزُ الْحَكِيمُ} [آل عمران:18].
Allah Ta3ala Asema:{ Mwenyezi Mungu, na Malaika, na wenye ilimu, wameshuhudia kuwa hakika hapana mungu ila Yeye, ndiye Mwenye kusimamisha uadilifu; hapana mungu ila Yeye Mwenye nguvu na Mwenye hikima } Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran:18].

Na Vile Kuwa Nyinyi Mume'Momba Allah Uwongofu Mwanzo Wakati Wa Kusoma Al'Fatiha Basi Muombeni Yeye Pale Mwisho Kukitisha, Na Alafu Mutasema Ba'ada Aya Ya Al'Tashahud Moja Kwa Moja:
{رَبَّنَا لاَ تُزِغْ قُلُوبَنَا بَعْدَ إِذْ هَدَيْتَنَا وَهَبْ لَنَا مِن لَّدُنكَ رَحْمَةً إِنَّكَ أَنتَ الْوَهَّابُ} [آل عمران:8].
Allah Ta3ala Asema:{Mola wetu Mlezi! Usizipotoe nyoyo zetu baada ya kwisha tuongoa, na utupe rehema itokayo kwako. Hakika Wewe ndiye Mpaji } Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran:8].


Na Alafu Mutasema Ba'ada Hapo:
{سُبْحَانَ رَ‌بِّكَ رَ‌بِّ الْعِزَّةِ عَمَّا يَصِفُونَ ﴿١٨٠﴾ وسلامٌ على المرسلين ﴿١٨١﴾ وَالْحَمْدُ لِلَّـهِ ربّ العالمين ﴿١٨٢﴾} [الصافات].
Allah Ta3ala Asema:{Subhana Rabbi'l'Izzat Ametakasika Mola Mlezi Mwenye enzi na yale wanayo mzulia (180) Na Salamu juu ya Mitume (181) Na sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu Mola Mlezi wa walimwengu wote (182)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alsafat].

Na Alafu Mutatoa Salam Kwa Ndugu Zenu Katika Dini Kwa Upande Wa Kulia Kwenu Na Kushoto Kwenu Malaika Wa Al'Rahman Walio Wakilishwa Kwenu Na Ambao Wamikalifiwa Kwa Kuandika Vitendo Venu, Basi Ba'ada Kumaliza Al'Tashahud Na Tasbihi Basi Atangalia Anae Sali Kulia Kwake Basi Amsalimie Juu Ya Malaika Raqib Aseme: Al'Salam Alekom Warahmatu Allah, Na Alafu Anagalie Upande Wa Kushoto Mwake Amsalimie Malaika Atid Aseme: Al'Salam Alekom Wa Rahmatu Allah, Na Alafu Wanarudisha Kwenu Malaika Wawili Raqib Na Atid Kwa Bora Zaidi Na Nyinyi Hamuski, Wa'Alekom Al'Salam Wa Rahmatu Allah Wa Barakatuhu, Limeisha Jibu Ukumbusho Kwa Wenye Akili.

Wala Sio Al'Tashahud Kama Wanavo Dai Kutoka Kwao Wenyewe; Bali Kadhalika Al'Tashahud ina Istanbatiwa kutoka Kwa Kitabu Cha Allah Wala Sio Kutoka Kwa Nafsi Zenu Kwakua Nyinyi Munatafautisha Baina Ya Mitume Wa Allah Basi Munataja Al'Muhammad Na Al'Ibrahim Na Wala Hamuwataji Wale Kabla Yao, Basi Kwanini Mumekanusha Kuwataja Na Haikuwachanganya Al'Tahiyat Katika Sala Zenu? Ama Kua Nyinyi Hamujui Nini Hio Al'Tahiyat? Lakini Hio Ni Salam Kutoka Kwa Allah Juu Yenu, Hivi Hajasema Allah Ta3ala:
{فَإِذَا دَخَلْتُم بُيُوتًا فَسَلِّمُوا عَلَى أَنفُسِكُمْ تَحِيَّةً مِّنْ عِندِ اللَّهِ مُبَارَكَةً طَيِّبَةً كَذَلِكَ يُبَيِّنُ اللَّهُ لَكُمُ الْآيَاتِ لَعَلَّكُمْ تَعْقِلُون} صدق الله العظيم [النور:61].
Allah Ta3ala Asema:{ Na mkiingia katika nyumba, toleaneni salamu, kuwa ni maamkio yanayo toka kwa Mwenyezi Mungu, yenye baraka na mema. Hivyo ndivyo Mwenyezi Mungu anavyo kubainishieni Aya zake mpate kuelewa} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnur:61].


Yani Musalimie Juu Ya Badhi Yenu Kwa Badhi, Nayo Useme: (Alsalam Alekom Wa Rahmatu Allah ), Na Alafu Wanawajibu Ndugu Zenu Kwa Ubora Kuliko Hio, Nayo Awe Atasema: (Wa Alekom Al'Salam Wa Rahmatu Allah Wa Barakatuhu ), Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَإِذَا حُيِّيْتُم بِتَحِيَّةٍ فَحَيُّواْ بِأَحْسَنَ مِنْهَا أَوْ رُدُّوهَا إِنَّ اللّهَ كَانَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ حَسِيبًا} صدق الله العظيم [النساء:86].
Allah Ta3ala Asema Na Mukiamkuliwa Kwa Mamkuzi Basi Murudishe Bora Kuliko Hio Ama Murudishe Hakika Allah Kwa Kila Kitu Ni Mwemye Kuhisabu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa:86].

Ndugu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.

أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــــ


۞منتديات البشرى الإسلامية۞
https://albushra-islamia.net./showthread.php?p=37754