Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
03 - 08 - 1432 هـ
05 - 07 - 2011 مـ
2:36 صباحاً
https://albushra-islamia.net./showthread.php?t=9530
ــــــــــــــــــ

بيان الصبغة؛ فطرة الله التي فطر الناس عليها لا تبديل للخلق..

Bayan Al'Sibgha Umbile: Fitra Ya Allah
Ambao Ameumba Watu Nayo Hapana Kubadili Kwa Viumbe..

Mchango Wa Asili Ime'Andikwa Na Dada Mu7hibat Al'Nabi "Hakika Wamefasiri Wanazuoni Al'Sibgha Katika Kauli Yake Ta3la Sibgha Ya Allah Na Nani Bora Kuliko Allah Sibgha" Kwa Tafsiri Mbili Ya Kwanza Ni Dini Ya Pili Ni Ku'Umba Kwa Allah Watu, Ni Ipi Baina Ya Tafsiri Mbili Ni Sawa Zaidi, Mimi Niko Na Umuhimu Sana Na Hilo Jibu Kwa Suala Hili Nataraji Kwa Wasmamizi Waitafutie Kuifikisha Suali Kwa Al'Imam Ama Munizidishie Bayana Yoyote Yake Ambao Inao Tafsiri Ya Aya Ilio Tajwa.

Bismila AL'RahmaN Al'RahiM, Na Sala Na Salamu Ju Ya Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah Na Alihi Walio'Tahirika Na Wote Ma Al'Ansar Wa Allah Al'WAHID Al'QAHAR Katika Kila Zama Na Pahali Mpaka Siku Ya Mwisho
Salamu Allah Ju Yenu Wapenzi Wangu Al'Ansar Al'Sabiqina Al'Akhyar, Na Salamu Allah Ju Ya Wote Watembeleaji Watafiti Wa Haki Katika Watu Wote, Al'Salam Ju Yetu Na Ju Ya Waja Wake Wema, Na Salamun Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabi Al'3alami..


Na Ewe Ambae Unae Uliza Kuhusu Sibghat Allah Ambao Ameumba Nalo Ju Yake Waja Wake, Ala Nayo Ni Fitra Ya Allah Ambao Ameumba Nayo WaTu, Ju Ya Neno La Ilaha Ila Allah Pekeyake Hana Mshirika Na Yeye Kutoka Zamani Azali Siku Alipo Waumba Wao Kwa Udongo, Siku Alipo Mumba Baba'Yetu Adam Na Hivo Hivo Kizazi Chake Kimanza Kumbwa Na udongo Kama Baba'Yao Adam, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{وَلَقَدْ خَلَقْنَا الْإِنسَانَ مِن سُلَالَةٍ مِّن طِينٍ ﴿١٢﴾ ثُمَّ جَعَلْنَاهُ نُطْفَةً فِي قَرَارٍ مَّكِينٍ ﴿١٣﴾ ثُمَّ خَلَقْنَا النُّطْفَةَ عَلَقَةً فَخَلَقْنَا الْعَلَقَةَ مُضْغَةً فَخَلَقْنَا الْمُضْغَةَ عِظَامًا فَكَسَوْنَا الْعِظَامَ لَحْمًا ثُمَّ أَنشَأْنَاهُ خَلْقًا آخَرَ ۚ فَتَبَارَكَ اللَّـهُ أَحْسَنُ الْخَالِقِينَ ﴿١٤﴾} صدق الله العظيم [المؤمنون].
Allah Ta3ala Asema:
{Na kwa yakini tumemuumba mtu kutokana na asli ya udongo(12)Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti(13)isha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji(14)}Sadaqa Alah Al3adhim[Almuminun].

Na Suali Lajiweka Lenyewe: Na Je Allah Anakusudia Adam?
Anasema Allah Ta3ala:
بقول الله تعالى:
{وَلَقَدْ خَلَقْنَا الْإِنسَانَ مِن سُلَالَةٍ مِّن طِينٍ ﴿١٢﴾ ثُمَّ جَعَلْنَاهُ نُطْفَةً فِي قَرَارٍ مَّكِينٍ ﴿١٣﴾ ثُمَّ خَلَقْنَا النُّطْفَةَ عَلَقَةً فَخَلَقْنَا الْعَلَقَةَ مُضْغَةً فَخَلَقْنَا الْمُضْغَةَ عِظَامًا فَكَسَوْنَا الْعِظَامَ لَحْمًا ثُمَّ أَنشَأْنَاهُ خَلْقًا آخَرَ ۚ فَتَبَارَكَ اللَّـهُ أَحْسَنُ الْخَالِقِينَ ﴿١٤﴾} صدق الله العظيم
​Allah Ta3ala Asema:
{Na kwa yakini tumemuumba mtu kutokana na asli ya udongo(12)Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti(13)Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji(14)}Sadaqa Alah Al3adhim[Almuminun].

Angalieni kuanza Kukua Akiwa Mtu Manii:
{هُوَ أَعْلَمُ بِكُمْ إِذْ أَنشَأَكُم مِّنَ الأَرْضِ وَإِذْ أَنتُمْ أَجِنَّةٌ فِي بُطُونِ أُمَّهَاتِكُمْ} صدق الله العظيم [النجم:32]
Allah Ta3ala Asema:
{naye anakujueni sana tangu alipo kuumbeni kutoka kwenye ardhi, na mlipo kuwa mimba matumboni mwa mama zenu}Sadaqa Allah Al3adhim[Alnajm:32], Lakini kumbwa Kwetu Mwanzo Ni Kumbwa Mtu Ki'Ini Tete, Akawatamsha Allah Kwa Tamko La Fitra Ambao Ame Waumba Nayo Watu Ju Yake, Akasema Allah Ta3ala:
وقال لهم:
{أَلَسْتُ بِرَبِّكُمْ قَالُوا بَلَى} صدق الله العظيم [الأعراف:172].
Allah Ta3ala Asema:
{Je Si Mola Wenu Mlezi Mimi Wakasema Ndio}Sasaqa Allah Al3adhim[Alaaraf:172].


Na Hio Ndio Sibghat Allah Ambao Ameumba Watu Ju Yake Basi Walikuwa Wote Waumini Kwa Mola Wao Mlezi Hawa'Mshrikishi Nai Kitu, Na Hawo Ma'Umma Ambao Alio Watamsha Allah Walikuwa Wote Wako Kwa Mgongo, Akachukuwa Allah Kwa Hao Ulimwengu Wa Kini'Tete Ahdi Ya Azali, Akasema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى:
{وَإِذْ أَخَذَ ربّك مِنْ بَنِي آدَمَ مِنْ ظُهُورِهِمْ ذُرِّيَّتَهُمْ وَأَشْهَدَهُمْ عَلَى أَنْفُسِهِمْ أَلَسْتُ بِرَبِّكُمْ قَالُوا بَلَى شَهِدْنَا أَنْ تَقُولُوا يَوْمَ الْقِيَامَةِ إِنَّا كُنَّا عَنْ هَذَا غَافِلِينَ ( 172 ) أَوْ تَقُولُوا إِنَّمَا أَشْرَكَ آبَاؤُنَا مِنْ قَبْلُ وَكُنَّا ذريّة مِنْ بَعْدِهِمْ أَفَتُهْلِكُنَا بِمَا فَعَلَ الْمُبْطِلُونَ ( 173 ) وَكَذَلِكَ نُفَصِّلُ الآيَاتِ وَلَعَلَّهُمْ يَرْجِعُونَ ( 174 )} صدق الله العظيم [الأعراف].
Allah Ta3ala Asema:
{Na pale Mola wako Mlezi alipo waleta katika wanaadamu kutoka migongoni mwao kizazi chao, na akawashuhudisha juu ya nafsi zao, akawaambia: Je, Mimi si Mola Mlezi wenu? Wakasema: Kwani! Tumeshuhudia. Msije mkasema Siku ya Kiyama sisi tulikuwa tumeghafilika na hayo(172)Au mkasema: Hakika baba zetu ndio walio shirikisha kabla yetu, na sisi ni dhuriya zao tu baada yao. Basi utatuangamiza kwa sababu ya waliyo yafanya wapotovu(173)Ndio kama hivyo tunavyo zipambanua Ishara, kwa kutaraji kuwa watarejea(174)}Sadaqa Allah Al3adhim[Alaaraf].


Na Huo Mkataba Amempa Kila Mtu Kinitete Katika Siku Hio wakati Alipo Wakhutubia Allah, Akawambia Wao
{أَلَسْتُ بِرَبِّكُمْ قَالُوا بَلَى شَهِدْنَا}
{Je Mimi Si Mola Wenu Wakasema Ndio Tumeshuhudia}], Yani Wao Wametowa Shahada Kuwa Allah Ndio Mola Wao Mlezi Muba'Wao Hapana Mungu Ispokuwa Yeye Pekeyake Hana Mshirika, Na Alikuwa Mtu Kinitete Mwenye Kujuwa Lengo Ambalo Ameumbwa Kwajili Yake, Kuwa Amwabudu Allah Pekeyake Hana Mshirika Na Yeye, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى: {صِبْغَةَ اللَّهِ وَمَنْ أَحْسَنُ مِنْ اللَّهِ صِبْغَةً وَنَحْنُ لَهُ عَابِدُونَ} صدق الله العظيم [البقرة:138]
Allah Ta3ala Asema:
{Huko ndiko kupaka rangi kwa Mwenyezi Mungu, na nani aliye mbora wa kupaka rangi kuliko Mwenyezi Mungu? Na sisi ni wenye kumuabudu Yeye tu}Sadaqa Allah Al3adhim[Albaqara:138].Yani Fitara Ya Allah Ambao Ameumba Nao Watu Haibadiliki Lengo LiLe Amewaumba Nalo Allah Kwajili Yake, Akasema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى:
{فَأَقِمْ وَجْهَكَ لِلدِّينِ حَنِيفًا فِطْرَةَ اللَّهِ الَّتِي فَطَرَ النَّاسَ عَلَيْهَا لا تَبْدِيلَ لِخَلْقِ اللَّهِ ذَلِكَ الدِّينُ الْقَيِّمُ وَلَكِنَّ أَكْثَرَ النَّاسِ لا يَعْلَمُونَ} صدق الله العظيم [الروم:30]
Allah Ta3ala Asema:
{Basi uelekeze uso wako sawasawa kwenye Dini - ndilo umbile la Mwenyezi Mungu alilo waumbia watu. Hapana mabadiliko katika uumbaji wa Mwenyezi Mungu. Hiyo ndiyo Dini iliyo nyooka sawa. Lakini watu wengi hawajui}Sadaqa Allah Al3adhim[Al'Rum:30], Manake Allah Amewaumba Ili Wamwabudu Yeye Pekeyake,Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{فَأَقِمْ وَجْهَكَ لِلدِّينِ حَنِيفًا فِطْرَةَ اللَّهِ الَّتِي فَطَرَ النَّاسَ عَلَيْهَا لا تَبْدِيلَ لِخَلْقِ اللَّهِ} صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema:{Basi uelekeze uso wako sawasawa kwenye Dini - ndilo umbile la Mwenyezi Mungu alilo waumbia watu. Hapana mabadiliko katika uumbaji wa Mwenyezi Mungu}Sadaqa Allah Al3adhim, Yani Hakuna Kubadilisha Lengo Ambalo Allah Amewaumba Nalo,Kusadiksha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{وَمَا خَلَقْتُ الجنِّ وَالْإِنْسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ (56)} صدق الله العظيم [الذاريات].
Allah Ta3ala Asema:
{Siku'Umba Ma'Jini Na Watu Ila Waniabudu Mimi}Sadaqa Allah Al3adhim[Aldhariyat].

Na Tunakuja Kwa Kukumbuka Binadamu Hi Ahdi Ya Azali Siku Ya Kiyama,Akasema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى:
{وَجِيءَ يَوْمَئِذٍ بِجَهَنَّمَ يَوْمَئِذٍ يَتَذَكَّرُ الْإِنسَانُ وَأَنَّىٰ لَهُ الذِّكْرَىٰ ﴿٢٣﴾} صدق الله العظيم [الفجر]
Allah Ta3ala Asema:
{Na ikaletwa Jahannamu siku hiyo, siku hiyo mtu atakumbuka! Lakini kukumbuka huko kutamfaa nini}Sasaqa Allah Al3adhim[Alfajr:23], Bssi Atakumbuka Mpaka Hi Ahadi Ya Azali Ya Zamani, Kwajili Ya Hivo Amesema Binadamu Ambae Amekanusha Ukumbusho Wa Mola Wake Mlezi:
{قَالَ ربّ لِمَ حَشَرْتَنِي أَعْمَى وَقَدْ كُنتُ بَصِيرًا} صدق الله العظيم [طه:125]
{Akasema Mola Mlezi Wangu Mbona Unifufuwa Kipofu Na Nilikuwa Naona} Sadaqa Allaha Al3adhum [Twaha: 125], Lakini Hio Ni Wakati Amekumbuka Binadamu Mpaka Ahdi Ya Azali Akakuta Yeye Alikuwa Mumin Kwa Mola Mlezi Wake Hamshirikishi Na Yeye Kitu, Kwa Jili Ya Hivo Amesema:
قَالَ ربّ لِمَ حَشَرْتَنِي أَعْمَى وَقَدْ كُنتُ بَصِيرًا} صدق الله العظيم}
{Akasema Mola Mlezi Wangu Mbona Uminifufuwa Kipofu Na Nilikuwa Naona} Sadaqa Allah Al3adhim, Yani Basira Anajuwa Pindi Alipo Muba Allah Pale Mwanzo Wa Ku'Umba, Lakini Hoja Ju Yake Nayo Ni Pale Alipo Simamisha Allah Ju Yake Hoja, Ba'Da Alipo Mza Mamake Akafika Umri Wa Kutimia Akili Alafu Akakanusha Ukumbusho Wa MOla Mlezi Wake,Asema AllH Ta3ala:
وقال الله تعالى:
{مَنْ أَعْرَضَ عَن ذِكْرِي فَإِنَّ لَهُ مَعِيشَةً ضَنكًا وَنَحْشُرُهُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ أَعْمَىٰ ﴿١٢٤﴾ قَالَ ربّ لِمَ حَشَرْتَنِي أَعْمَىٰ وَقَدْ كُنتُ بَصِيرًا ﴿١٢٥﴾ قَالَ كَذَٰلِكَ أَتَتْكَ آيَاتُنَا فَنَسِيتَهَا ۖ وَكَذَٰلِكَ الْيَوْمَ تُنسَىٰ ﴿١٢٦﴾ وَكَذَٰلِكَ نَجْزِي مَنْ أَسْرَفَ وَلَمْ يُؤْمِن بِآيَاتِ ربّه ۚ وَلَعَذَابُ الْآخِرَةِ أَشَدُّ وَأَبْقَىٰ﴿١٢٧﴾} صدق الله العظيم [طه].
Allah Ta3ala Asema:
{Na atakaye jiepusha na mawaidha yangu, basi kwa yakini atapata maisha yenye dhiki, na Siku ya Kiyama tutamfufua hali ya kuwa kipofu(124)Aseme: Ewe Mola wangu Mlezi! Mbona umenifufua kipofu, nami nilikuwa nikiona(125)(Mwenyezi Mungu) atasema: Ndivyo vivyo hivyo. Zilikufikia ishara zetu, nawe ukazisahau; na kadhaalika leo unasahauliwa(126)Na hivi ndivyo tutakavyo mlipa kila apitaye kiasi, na asiye amini ishara za Mola wake Mlezi. Na hakika adhabu ya Akhera ni kali zaidi, na inadumu zaidi(127)} Sadaqa Allah Al3adhim[Taaha].

Na Labda Anataka Moja Kati Ya Waulizaji Kunikatiza Aseme:"Ewe Ndugu Yangu Lakini Anakusudia Kuwa Binadamu Alikuwa Anaona Katika Haya Maisha Ba'Ada Kuzaliwa Na Kufika Kukamilika Akili Akakanusha Ukumbusho Wa Mola Mlezi Wake". Na Alafu Anmrudishia Jibu Ju Yake Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Na Nasema: Sikiza Allah Akuongoe, Haitakikani Kuwe Na Mgongano Katika Kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim, Basi Angalia Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
لقول الله تعالى:
{وَمَن كَانَ فِي هَـٰذِهِ أَعْمَىٰ فَهُوَ فِي ٱلآخِرَةِ أَعْمَىٰ وَأَضَلُّ سَبِيلاً(72)} صدق الله العظيم [الإسراء].
Allah Ta3ala Asema:
{Na aliye kuwa hapa kipofu, basi atakuwa kipofu Akhera, na atakuwa aliye ipotea zaidi Njia}Sadaqa Allah Al3adhim[Alisra:72].

Kwahivo Wanaekanusha Kwa Ukumbusho Wa Mola Mlezi Wao Wamekumbuka Ahdi Ya Mola Mlezi Wao katika Azali Ya Zamani Siku Ilipo Timu Kumbwa Kwao Wote Kutokana Na Udongo, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{وَإِذْ أَخَذَ ربّك مِنْ بَنِي آدَمَ مِنْ ظُهُورِهِمْ ذُرِّيَّتَهُمْ وَأَشْهَدَهُمْ عَلَى أَنْفُسِهِمْ أَلَسْتُ بِرَبِّكُمْ قَالُوا بَلَى شَهِدْنَا أَنْ تَقُولُوا يَوْمَ الْقِيَامَةِ إِنَّا كُنَّا عَنْ هَذَا غَافِلِينَ ( 172 ) أَوْ تَقُولُوا إِنَّمَا أَشْرَكَ آبَاؤُنَا مِنْ قَبْلُ وَكُنَّا ذريّة مِنْ بَعْدِهِمْ أَفَتُهْلِكُنَا بِمَا فَعَلَ الْمُبْطِلُونَ ( 173 ) وَكَذَلِكَ نُفَصِّلُ الآيَاتِ وَلَعَلَّهُمْ يَرْجِعُونَ ( 174 )} صدق الله العظيم [الأعراف
Allah Ta3ala Asema:
{Na pale Mola wako Mlezi alipo waleta katika wanaadamu kutoka migongoni mwao kizazi chao, na akawashuhudisha juu ya nafsi zao, akawaambia: Je, Mimi si Mola Mlezi wenu? Wakasema: Kwani! Tumeshuhudia. Msije mkasema Siku ya Kiyama sisi tulikuwa tumeghafilika na hayo(172)Au mkasema: Hakika baba zetu ndio walio shirikisha kabla yetu, na sisi ni dhuriya zao tu baada yao. Basi utatuangamiza kwa sababu ya waliyo yafanya wapotovu(173)Ndio kama hivyo tunavyo zipambanua Ishara, kwa kutaraji kuwa watarejea(174)}Sadaqa Allah Al3adhim[Alaaraf].

Vitabu"Tafsiri Ya Albaghawi"Sura Ya Taha,Tafsiri Ya Kauli Yake Allah Ta3ala"
قوله تعالى
" قال ربّ لم حشرتني أعمى وقد كنت بصيرا"
Kauli Yake Ta3ala"Aseme: Ewe Mola wangu Mlezi! Mbona umenifufua kipofu, nami nilikuwa nikiona" Idh'Har Altashkil| ikha Altashkil Mas'Ala: juzu Ya Tano Tahlil Ya Maudhui قال ربّ لم حشرتني أعمى وقد كنت بصيرا ( 125 (Aseme: Ewe Mola wangu Mlezi! Mbona umenifufua kipofu, nami nilikuwa nikiona)(125)قال كذلك أتتك آياتنا فنسيتها وكذلك اليوم تنسى ( 126 )(Mwenyezi Mungu) atasema: Ndivyo vivyo hivyo. Zilikufikia ishara zetu, nawe ukazisahau; na kadhaalika leo unasahauliwa(126)وكذلك نجزي من أسرف ولم يؤمن بآيات ربّه ولعذاب الآخرة أشد وأبقى ( 127 )}Na hivi ndivyo tutakavyo mlipa kila apitaye kiasi, na asiye amini ishara za Mola wake Mlezi. Na hakika adhabu ya Akhera ni kali zaidi, na inadumu zaidi(127)
قال ربّ لم حشرتني أعمى وقد كنت بصيرا )(Aseme: Ewe Mola wangu Mlezi! Mbona umenifufua kipofu, nami nilikuwa nikiona) Kwa Jicho Ama Basira Kwa Hoja)قال كذلك )Akasema Vivyo hivyo) Yani :Kams Vile Zimekujia Ishara Zetu Ukazisahau) Ukaziwacha Ukazipa Mgongo( وكذلك اليوم تنسى )(Na Vivyo Hivyo Leo Utasahauliwa) Utawachwa Motoni. Akasema Qutada:Wamesahau Kutokana Na Kheri Na Hawakusahau Kutokana Na Adhabu.(وكذالك)(Na Vivyo hivo)Yani Kama Tulivo Kuja Wakipa Mgongo Al'Quran Na Hivo hivo,(نجزي من أسرف )(Tutamjazi Ambae Atafanya israf)Kumshirikisha,ص: 302] Na Hakuamini Kwa ishara Za Mola Wake Mlezi Basi Adhabu Ya Akhera Ni mbaya Zaidi} Kwa Yale Atakao Kuwadhibu Katika Dunia Na Katika Kaburi,(Na Ni Ya Kubaki)Na Ya Kudumu.

"Na Angalieni Tafsir " Alqadir
قال ربّ لم حشرتني أعمى وقد كنت بصيرا (في الدنيا{Aseme: Ewe Mola wangu Mlezi! Mbona umenifufua kipofu, nami nilikuwa nikiona(125)}(Katika Duniya))125 قال كذلك أتتك آياتنا فنسيتها وكذلك اليوم تنسى (126(Mwenyezi Mungu) atasema: Ndivyo vivyo hivyo. Zilikufikia ishara zetu, nawe ukazisahau; na kadhaalika leo unasahauliwa(126)}Na Anglia Tafsiri Ya Qurtubi
قال ربّ لم حشرتني أعمى وقد كنت بصيرا (125)
yani Kwa Dhambi Gani Uminiadhibu Kwa Upofu[Na Nilikuwa Naona] Yani Katika Dunia Na Yuwaona Kama Hana Dhambi Yeye Na Akasema Ibnu Abas Na Mujahid: Yani
{Kwanini Unifufuwa Kipofu} Kwa Hoja Yangu[Na Nilikuwa Naona]Na Najuwa Hoja Yangu Alqashiri: Na Yeye Yuko Mbali pindi Hakuwa Kwa Kafiri Hoja Katika Dunia,Akasema Hivo Zimekujia Ishara Zetu Ukazisahau Na Hivo Leo Unasahauliwa.

Na Alafu Tunasema Kwao Ghafara Allah Kwa Wale Wamefasiri Al'Quran Kwa Dhana Ambao Haisaidi Mbele Ya Haki Kitu, Na Wange Wacha Kufasiri Hi Aya Mpaka Ije Zama Ya Tafsiri Yake Ya Kweli Pindi Watagunduwa Watu Kuwa Walikuwa Wako Umma Ju Ya Mgongo Wa Baba Yao Adam Akachukuwa Allah Ahdi Kwao Ya Ki Azali,Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{وَإِذْ أَخَذَ ربّك مِنْ بَنِي آدَمَ مِنْ ظُهُورِهِمْ ذُرِّيَّتَهُمْ وَأَشْهَدَهُمْ عَلَى أَنْفُسِهِمْ أَلَسْتُ بِرَبِّكُمْ قَالُوا بَلَى شَهِدْنَا أَنْ تَقُولُوا يَوْمَ الْقِيَامَةِ إِنَّا كُنَّا عَنْ هَذَا غَافِلِينَ ( 172 ) أَوْ تَقُولُوا إِنَّمَا أَشْرَكَ آبَاؤُنَا مِنْ قَبْلُ وَكُنَّا ذريّة مِنْ بَعْدِهِمْ أَفَتُهْلِكُنَا بِمَا فَعَلَ الْمُبْطِلُونَ ( 173 ) وَكَذَلِكَ نُفَصِّلُ الآيَاتِ وَلَعَلَّهُمْ يَرْجِعُونَ ( 174 )} صدق الله العظيم [الأعراف].
Allah Ta3ala Asema:
{Na pale Mola wako Mlezi alipo waleta katika wanaadamu kutoka migongoni mwao kizazi chao, na akawashuhudisha juu ya nafsi zao, akawaambia: Je, Mimi si Mola Mlezi wenu? Wakasema: Kwani! Tumeshuhudia. Msije mkasema Siku ya Kiyama sisi tulikuwa tumeghafilika na hayo(172)Au mkasema: Hakika baba zetu ndio walio shirikisha kabla yetu, na sisi ni dhuriya zao tu baada yao. Basi utatuangamiza kwa sababu ya waliyo yafanya wapotovu(173)Ndio kama hivyo tunavyo zipambanua Ishara, kwa kutaraji kuwa watarejea(174)}Sadaqa Allah Al3adhim[Alaaraf].

Na Lakini Wale Ambao Wanasema Ju Ya Allah Wasio'Yaijuwa Wametowa Fatwa Kuwa Alikuwa Anaona Bada Kuzaliwa Na Mamake Akafika Umri Wa Kutimu Akili ! Na Haraka Inasmamishwa Hoja Ju Yao Kuwa Wamefanya Mgongano Kwenye Kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim Kwa Sababu Ya Tafsiri Yao Ya Kudhania, Kwakuwa Itagongana Tafsiri Yao Kauli Ya Allah Ta3ala:
قول الله تعالى:
{وَمَن كَانَ فِي هَذِهِ أَعْمَى فَهُوَ فِي الآخِرَةِ أَعْمَى وَأَضَلُّ سَبِيلاً(72)} صدق الله العظيم [الإسراء].
Allah Ta3ala Asema:
{Na Yule Atakae Kuwa Katika Hi Ni Kipofu Basi Yeye Katika Akhera Kipofu Bali Amepotea Zaidi} Sadaqa Allah Al3adhim[Alisra:72].

Hivi Haigongani Yale Na Tafsiri Zao Kuwa Yeye Anaona Katika Dunia Kama Alivo Sema Albaghawi Na Wenginewe?
{قال ربّ لم حشرتني أعمى وقد كنت بصيرا [أي في الدنيا](125) قال كذلك أتتك آياتنا فنسيتها وكذلك اليوم تنسى (126)} [طه]
{Akasema Mola Mlezi Wangu Mbona Umenifufuwa Kipofu Na Nilikuwa Naona [ Yani Duniani](125)Akasema Vivyo Hivyo Ilikujia Ishara Zetu Ukazisahau Na Hivo Hivo Leo Unasahauliwa(126)}[Taha] Basi Mcheni Allah Enye Ma3ashara Ambao Wanafasiri Maneno Ya Allah Kwa Kudhani Ambao Haisaido Mbele Ya Haki Kitu ! Lakini Alimam Al'Mahdi Anawaletea Kwenu Burhan Kutoka Kwa Dhati Ya Al'Quran Kwa Ma'Aya Muhakama Ziko Wazi Kwa Mwanachuoni Wenu Na Wote Waislamu, Na Anafafanuwa Ma'Aya Ufafanuzi Mkuu Kwa Ma Aya zingine, Wala Siwaletei Kitu Kutoka Kwangu Kwa Kauli Ya Dhana Bali Kwa Burhan Ambao Yatoka Kwa Allah Hamna Shaka Wala Utata Ndani Yake, Na Lini Enyi Kaum Mutaenda Kutafautisha Haki Na Bayil ? Ala Wallah Hamutopata Mwenye Kutafsiri Al'Quran Yote Kwa Haki Ispokuwa Al'Imam Al'Mahdi Katika Wote Wanachuoni Wa Kislamu Na Hakika Sisi Ni Katika Wa Kweli, Na Kwa Vile Mimi Natamka Kwa Haki Katika Kila Mara Basi Niwashinde Wakanushaji Na Nawa'Smamishia Hoja Ju Yao Kwa Haki Mpaka Waongoke Kwa Haki Ama Waipe Mgongo Ba'Ada Kubainika Kwake Kuwa Nasser Muhammad Al'Yamani Anatamka Kwa Haki Na Anaongoza Kwa Sirat Al'Mustakim.


Na Labda Anataka Kunikata Wavivu Wa Kusoma Waseme Lakini Bayna Zako Ni Ndefu Ewe Nasser Muhammad Al'Yamani, Kwajili Ya Hivo Hatusomi Ila Kidogo Katika Ma'Bayana Zako Na Tunawacha Ilio Baki, Na Alafu Anarudisha Ju Yenu Al'Imam Al'Mahdi Na Nasema Yale Alio Tuamrisha Allah Tuseme Kwa Watu Kama Mfano Wao:

{قُلْ هُوَ نَبَأٌ عَظِيمٌ ﴿٦٧﴾ أَنتُمْ عَنْهُ مُعْرِضُونَ ﴿٦٨﴾} صدق الله العظيم [ص]
Allah Ta3ala Asema:{Sema: Hii ni khabari kubwa kabisa(67)Ambayo nyinyi mnaipuuza(68)}Sadaqa Allah Al3adhim [Saad]. Ala Wallah Lau Mungekuwa Muna Hamu Kubwa Katika Nyoyo Zenu Kwa Kutafuta Haki Hakika Nyinyi Hamunge Choka Kutadabur Na Kutafakari Kwa Bayana Ya Haki Ya Al'Quran Al3adhim,

Na Enyi Kaumu, Hakika Ya Al'Imam Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Sio Kuwa Ni Mwanachuoni Wa Dini Tu; Bali Khalifa Wa Allah Amemtumilaza Allah Ili Awafafanulie Aya Zake Huwenda Mkuarudi Kwa Haki Na Mukawa Wacha'Mungu,Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى: {وَكَذَلِكَ نُفَصِّلُ الآيَاتِ وَلَعَلَّهُمْ يَرْجِعُونَ ( 174 )} صدق الله العظيم [الأعراف].
Allah Ta3ala Asema:{Na Hivo Tunafafanuwa Ishara Zetu Huwenda Mukarudi} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].

Na Enyi Umma Wa Kislamu Enyi Ma Hujaj Nyumba Ya Allah Al'Haram, Mpaka Lini Itaendelea Kukanusha Kwenu Kwa Kufwata Haki Kutoka Mola Wenu ? Na Hatu'Kuwalingania Kwa Kitabu Kipya Bali Kufwata Al'Quran Al'Majid Ili Niwaongoze Kwa Sirat Al3aziz Al'Hamid, Basi Je Nynyi Waumini Kwa Al'Quran Al3adhim Ama Imekuwa Mrefu Kwenu Kutoka Kuteremke Al'Quran Basi Ikawa Ngumu Nyoyo Zenu ? Akasema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى: {أَلَمْ يَأْنِ لِلَّذِينَ آمَنُوا أَن تَخْشَعَ قُلُوبُهُمْ لِذِكْرِ اللَّـهِ وَمَا نَزَلَ مِنَ الحقّ وَلَا يَكُونُوا كَالَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ مِن قَبْلُ فَطَالَ عَلَيْهِمُ الْأَمَدُ فَقَسَتْ قُلُوبُهُمْ وَكَثِيرٌ مِّنْهُمْ فَاسِقُونَ (16)} صدق الله العظيم [الحديد].
Allah Ta3ala Asema:{Je! Wakati haujafika bado kwa walio amini zikanyenyekea nyoyo zao kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu na haki iliyo teremka? Wala wasiwe kama walio pewa Kitabu kabla yao, muda wao ukawa mrefu, kwa hivyo nyoyo zao zikawa ngumu, na wengi wao wakawa wapotovu} Sadaqa Allah Al3adhim [Saad].


Na Lakini Ana'Wakhutubia Allah Nyinyi Enyi Waislamu Wa Leo, Enye Munao Amini Al'Quran Al3adhim Leo Kwakuwa Hio Imekuwa Mrefu Ju Yenu Kusubiri Kutumilizwa Al'Mahdi Al'Muntadhar Kutoka Kuteremka Al'Quran Al3adhim Kama Ilivo Kuwa Mrefu Kusubiri Watu Wa Kitabu Kutumilizwa Al'Nabi Al'Umi Kutoka Kuteremshwe Al'Tawurat Na Al'Injil Basi Ikawa Ngumu Nyoyo Zao Kwa Ukumbusho Wa Mola Mlezi Wao Basi Musiwe Mfano Wao, Basi Zipate Kumcha'Mungu Nyoyo Zao Kwa Bayana Ya Haki Ya Al'Quran Al3adhim,


Na Ewe Ajabu Yangu Ya Kushangaza Na Je Alawutad Ni Kuu Ama Nyoyo Za Waja? Akasema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى: {لَوْ أَنزلْنَا هَذَا الْقُرْآنَ عَلَى جَبَلٍ لَرَأَيْتَهُ خَاشِعًا مُتَصَدِّعًا مِنْ خَشْيَةِ اللَّهِ وَتِلْكَ الأمْثَالُ نَضْربّها لِلنَّاسِ لَعَلَّهُمْ يَتَفَكَّرُونَ (21) هُوَ اللَّهُ الَّذِي لا إِلَهَ إِلا هُوَ عَالِمُ الْغَيْبِ وَالشَّهَادَةِ هُوَ الرَّحْمَنُ الرَّحِيمُ (22) هُوَ اللَّهُ الَّذِي لا إِلَهَ إِلا هُوَ الْمَلِكُ الْقُدُّوسُ السَّلامُ الْمُؤْمِنُ الْمُهَيْمِنُ الْعَزِيزُ الْجَبَّارُ الْمُتَكَبِّرُ سُبْحَانَ اللَّهِ عَمَّا يُشْرِكُونَ (23) هُوَ اللَّهُ الْخَالِقُ الْبَارِئُ الْمُصَوِّرُ لَهُ الأسْمَاءُ الْحُسْنَى يُسَبِّحُ لَهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَالأرْضِ وَهُوَ الْعَزِيزُ الْحَكِيمُ (24)} صدق الله العظيم [الحشر].
Allah Ta3ala Asema:{Lau kuwa tumeiteremsha hii Qur'ani juu ya mlima, basi bila ya shaka ungeli uona ukinyenyekea, ukipasuka kwa khofu ya Mwenyezi Mungu. Na hiyo mifano tunawapigia watu ili wafikiri(21)Yeye ndiye Mwenyezi Mungu, ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mwenye kuyajua yaliyo fichikana na yanayo onekana. Yeye ndiye Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu(22)Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, Mwenye salama, Mtoaji wa amani, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake, Mwenye nguvu, Anaye fanya analo litaka, Mkubwa, Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo mshirikisha nayo(23)Yeye ndiye Mwenyezi Mungu, Muumbaji, Mtengenezaji, Mtia sura, Mwenye majina mazuri kabisa. Kila kilioko katika mbingu na ardhi kinamtakasa, naye ni Mwenye kushinda, Mwenye hikima(24)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alhashri].


وسلامٌ على المرسلين، والحمد ُلله ربّ العالمين..
عبد الله والخليفة في الأرض الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــ


Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabi Alalamin..
Mja Wa Allah Na Khalifa Katika Ardhi Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
ـــــــــــــــــــ