Fatwa kuhusu ada ya siri..
فتوى العادة السريّة..
AL'IMAM NASSER MUHAMMAD AL'YAMANI
26 - 01 - 1433 هـ
22 - 12 - 2011 مـ
06:50 صباحاً
ـــــــــــــــــــــــ
مصدر البيان: [COLOR=#0000ff]https://albushra-islamia.net./showthread.php?t=5220]
Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Juu Ya Babu yangu Muhammad Mtume wa Allah na Alihi Walio Tahirika na wote ma Anssar wa Allah Mpaka siku ya mwisho..
Al'Salam Alekom Warahmatullahi wa barakatatuhu Wapenzi wangu Kwa Allah Al'Anssar Al'Saabiqina Al'Akhyar katika Zama Za Mazungumzo kabla ya kudhihiri, hakika ametaja Allah janaba mara mbili kwenye hi maudhui, Ama ya kwanza: nayo ni ya waislamu wote kwa jumla ambao hawa'jaowa na walio owa, na hio katika kauli ya Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُواْ لاَ تَقْرَبُواْ الصَّلاةَ وَأَنتُمْ سُكَارَى حَتَّىَ تَعْلَمُواْ مَا تَقُولُونَ وَلاَ جُنُبًا إِلاَّ عَابِرِي سَبِيلٍ حَتَّىَ تَغْتَسِلُواْ}
صدق الله العظيم [النساء:43].
Allah Ta3ala Asema: {Enyi mlio amini! Msikaribie Sala, hali mmelewa, mpaka myajue mnayo yasema, wala hali mna janaba - isipo kuwa mmo safarini - mpaka mkoge}
Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa:43].
Na tunatoa istinbat kwa undani kutokana na hayo kua yule alio ota ndoto kua amejamiana na mwanamke ama mengine na hayo kutokana na ndoto za kishetani mpaka amalize haja yake na raha yake ya kijinsia kwa ndoto, basi bila shaka wala utatanishi kua yeye imitimu kurusha maji kwenye waki ya uhakika basi amekua ana janaba na amewajibika juu yake kuoga, na hilo lafanyika kwaida kwa baadhi ambao hawajaoa na walio'owa, Na hio ndio janaba katika usingizi ambao inakusudiwa kwenye kauli ya Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُواْ لاَ تَقْرَبُواْ الصَّلاةَ وَأَنتُمْ سُكَارَى حَتَّىَ تَعْلَمُواْ مَا تَقُولُونَ وَلاَ جُنُبًا إِلاَّ عَابِرِي سَبِيلٍ حَتَّىَ تَغْتَسِلُواْ}
صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema: {{Enyi mlio amini! Msikaribie Sala, hali mmelewa, mpaka myajue mnayo yasema, wala hali mna janaba - isipo kuwa mmo safarini - mpaka mkoge}
Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa:43].
Na kadhalika janaba ya walio owana wakati wanapo waingilia wake zao ndio walete shahawa yao ya kijinsia basi anakua janaba kdhalika amewajibika juu yake kuoga, Na labda anataka moja katika mashabab kutaka kunikatiza aseme:" Na yule ambae anafanya raha zake za kijinsia bila mkewake bali afanya na mnyama ama ada ya siri na jee atakiwa akuoge na aswali basi hana dhambi juu yake ili atubu nalo iwe kama hayo kama janaba la ndoto ama kama janaba ya yule alio lala na mkewake?." Na Alafu Anarudisha Jibu Kwake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani na Nasema: Amesema Allah Ta3ala:
{اتْلُ مَا أُوحِيَ إِلَيْكَ مِنَ الْكِتَابِ وَأَقِمِ الصَّلَاةَ إِنَّ الصَّلَاةَ تَنْهَى عَنِ الْفَحْشَاءِ وَالْمُنْكَرِ وَلَذِكْرُ اللَّهِ أَكْبَرُ وَاللَّهُ يَعْلَمُ مَا تَصْنَعُونَ}
صدق الله العظيم [العنكبوت:45].
Allah Ta3ala Asema:{ SOMA uliyo funuliwa katika Kitabu, na ushike Sala. Hakika Sala inazuilia mambo machafu na maovu. Na kwa yakini kumdhukuru Mwenyezi Mungu ndilo jambo kubwa kabisa. Na Mwenyezi Mungu anayajua mnayo yatenda}
Sadaqa Allah Al3adhim [Alankabut:45].
Na Akasema Allah Ta3ala:
: {وَالَّذِينَ هُمْ لِفُرُوجِهِمْ حَافِظُونَ ﴿٥﴾ إِلَّا عَلَىٰ أَزْوَاجِهِمْ أَوْ مَا مَلَكَتْ أَيْمَانُهُمْ فَإِنَّهُمْ غَيْرُ مَلُومِينَ ﴿٦﴾ فَمَنِ ابْتَغَىٰ وَرَاءَ ذَٰلِكَ فَأُولَـٰئِكَ هُمُ الْعَادُونَ ﴿٧﴾}
صدق الله العظيم [المؤمنون].
Allah Ta3ala Asema:{Na ambao wanazilinda tupu zao (5) Isipo kuwa kwa wake zao au kwa iliyo wamiliki mikono yao ya kulia. Kwani hao si wenye kulaumiwa (6) Lakini anaye taka kinyume cha haya, basi hao ndio warukao mipaka (7) } Sadaqa Allah Al3adhim [Almuminun].
Na enyi Wapenzi Wangu kwa Allah musiulize kuhusu vitu pindi mukiletewa kwenu iwachukize na amenyamaza Al'Imam Al'Mhadi Kuhusu Bayana Yake mpaka hapo, kwakua katika ma shabab mabarobaro ambao ni ma Anssar mwenye kutaka kunikatiza aseme: " Ewe Imamu wangu mimi sijaoa na mara ingine inanibidi kutenda ada ya siri", Na Alafu namrudisha juu yake jibu kwake kwa jibu kutoka kwa Allah Moja kwa moja kwa kauli ya Allah Ta3ala:
{وَالَّذِينَ هُمْ لِفُرُوجِهِمْ حَافِظُونَ ﴿٥﴾ إِلَّا عَلَىٰ أَزْوَاجِهِمْ أَوْ مَا مَلَكَتْ أَيْمَانُهُمْ فَإِنَّهُمْ غَيْرُ مَلُومِينَ ﴿٦﴾ فَمَنِ ابْتَغَىٰ وَرَاءَ ذَٰلِكَ فَأُولَـٰئِكَ هُمُ الْعَادُونَ ﴿٧﴾} صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema:{{Na ambao wanazilinda tupu zao (5) Isipo kuwa kwa wake zao au kwa iliyo wamiliki mikono yao ya kulia. Kwani hao si wenye kulaumiwa (6) Lakini anaye taka kinyume cha haya, basi hao ndio warukao mipaka (7) } Sadaqa Allah Al3adhim [Almuminun].
Na Enyi Wapenzi Wangu Kwa Allah Na Labda Nanyamza Kuhusu Mambo Kwa Hikma Mpaka Wakati, kwa'kua labda ba'adhi ya watu wamepata ulinganizi wa Al'imam Al'Mahdi Alafu apendezwe Na hu Ulinganizi Ambao unakinaisha Akili na mantiq na anataka kufwata, Na alafu amwambie yeye mwengine katika wale wanao fata mashahawa Aseme:" ewe fulani na lakini Nasser Muhammad Al'Yamani ni katika wale wanao haramisha juu ya uchi aina zote za raha ya kijinsia ispokua kwa wakezao na wewe ni bachla na hujaowa". Na kwa maskitiko akiwa huyu mtafiti ni katika wale ambao wanapoteza sala zao na wanafwata shahawa yao basi atachelewa kufwata Aseme:" Kwahivo basi nitangoja na nitachelewesha kumfwata Nasser Muhammad Al'Yamani mpaka wamzidi juu yake wanazuoni wa umma". Na Alafu anarudisha Jibu juu yake Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani na nasema: Bali umichelewesha Kufwata haki kutoka kwa Mola Mlezi wako Kwa'kua unaona wewe huwezi kuwacha ada ya siri, Basi mche Allah ewe mpenzi wangu kwa Allah basi hifadhini maji yenu hakika iko ndani yake kizazi chenu, Na wala musifwate hatua za shetani, Ala hakika ya menedo ya shetani ni kufwata kila kinacho vutia kwa shahawa ya kijinsia, Hivi hamjuwi kua mukimcha Allah Anawajalia Kwenu Njiya na anawaruzuku pasi na nyinyi kujua, Na alafu mutaoa munae mtaka kwa idhini ya Allah, Na kwa Allah inarudi mambo anajua ukhaini wa macho na kinacho ficha kifua Na yeye Ndio Mola Neema ya Mola Na neema ya mweye kunusuru.
Ndugu Yenu Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخوكم؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــــ